Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,060
Salaam,
Kwa wingi wetu tutakubaliana kuwa Bara letu la Afrika limekuwa na balaa na tatizo sugu la uongozi mbovu ambao ndio chanzo pekee kikubwa cha ni kwa nini bara la Afrika limebaki nyuma katika ufukara, ujinga, maradhi, vita na masahibu mengine kwa miongo yote baada ya zaidi ya asilimia 95% ya nchi zake kuwa "huru" baada ya kuwafukuza "wakoloni".
Viongozi/watawala wengi wa Afrika wamekuwa ni wabinafsi, wabaguzi, wenye kiburi, wala rushwa na wasio na maono wala uwezo wa kuongozi nchi zao.
Napenda kumpongeza Rais wa Botswana Bw. Ian Khama kwa kuonyesha kwa mara nyingine aina ya uongozi ambao Bara la Afrika linawahitaji. Namnukuu kama alivyosema....
Earlier on Tuesday, ahead of Mugabe's resignation, Botswana President Ian Khama had publicly urged him to resign.
In an open letter published on social media, Khama said "the people of Zimbabwe have for a long time been subjected to untold suffering as a result of poor governance under your leadership".
"It is therefore my conviction that by vacating the Presidency, this will usher in a new political dispensation that will pave the way for the much needed socio-economic recovery in Zimbabwe."
Robert Mugabe resigns: World reaction