ngoja aje sikonge atufafanulie -- nyie wengine hamuaminiki kabisa.kwa namna moja mm ni mchanga kwenye siasa....ila nampongeza mbunge wangu wa sikonge kwa hotuba yake iliyofanyika wiki iliyopita.hotuba yake ilijikita sana katika suala la maendeleo.na baada ya hotuba kila mwananchi alionekana kuvutiwa na hotuba ile.hongera sana muheshimiwa Said Juma Nkumba
kwa namna moja mm ni mchanga kwenye siasa....ila nampongeza mbunge wangu wa sikonge kwa hotuba yake iliyofanyika wiki iliyopita.hotuba yake ilijikita sana katika suala la maendeleo.na baada ya hotuba kila mwananchi alionekana kuvutiwa na hotuba ile.hongera sana muheshimiwa Said Juma Nkumba
Nini ? unaamini wote tupo Sikonge
weka hapaa alisema nini tujadili acha ubinafsi.
kafanyanye.....?????? Huyoo Tarafa
Kwa namna moja mimi ni mchanga kwenye siasa....ila nampongeza mbunge wangu wa Sikonge kwa hotuba yake iliyofanyika wiki iliyopita.hotuba yake ilijikita sana katika suala la maendeleo. Na baada ya hotuba kila mwananchi alionekana kuvutiwa na hotuba ile. Hongera sana muheshimiwa Said Juma Nkumba
ndiyo huyo ninaemzungumzia he is acceptable man in Sikonge
ww ni muongo sana kwani binafsi sikuwepo hapo mkutanoni ila kupitia waliokuwepo na habari za mtaani ni kwamba Nkumba alikosa kabisa watu na hata walioudhuria ni wanachama wa CCM tu.
Katika watu nisiotaka hata kukutana nao ni pamoja huyu jamaa eti mwakilishi wa watu jimbo la Sikonge, hata sijui kazi zake kila siku ni nini?
wasting time to discuss about this eti member of parliament!!! -- watu wa sikonge hawana mwakilishi serikalini, kama unabisha fanya utafiti.
Hakuna kinachoendelea wilayani sikonge si kilimo cha tumbaku, uvuvi, uvunaji asali nk - vijana, kina mama, wazee wote wa wilaya hii wamechoka vibaya mno; mbunge hana mkakati wowote kunyenyua uchumi wa watu wa wake, yaani hata kuishawishi serikali kuwekeza hata viwanda vidogo vidogo hakuna, bulding capacity kwa vijana kujikwamua ki-uchumi hakuna aisee!!
Kama kweli tunataka kuendelea lazima 2015 tuchague mwakilishi atayetufikishia matatizo yetu, as of now Sikonge ipo nje ya ramani ya tanzania. Anayebisha atembelee vijiji hivi Sikonge yenyewe, Chabutwa, ipole, usunga, imalampaka, mibono na viunga vyake akajionee mwenyewe ninachokisema.
Dunia ya leo ukisema uongo ujue hautafika mbali ..mie nimekaa hapa sikonge toka 2010 na nilishuhudia kila kitu pale mpaka jinsi alivyoshindwa na kulazimika kununua ubunge toka kwa aliyekuwa ameshinda(CUF)
kwa ufupi tu watu hawampendi na wala hana hata mtizamo mwema toka kwa watu make ni mtu wa kufunga vioo muda wote na si wa kujichanganya na watu
mkihitaji mengi semeni niwaletee niko tayari.