Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Punguza bangiSasa unataka nini. Nicole hutaki nimuoe, Hogo langu hutaki kuliona. Unataka nini sasa? Niambie unachotaka
Punguza bangiSasa unataka nini. Nicole hutaki nimuoe, Hogo langu hutaki kuliona. Unataka nini sasa? Niambie unachotaka
Kwahiyo wazo langu la kumuoa Nicole Mbowe ni bangi? Mbona unahasira sana. Na wewe upo na mpango wa kumuoa?Punguza bangi
Taratibu mzee, tusije tukamwaga damu. Nimemuwahi mimi Nicole. Tafuta mwanamke mwingine.naomba CV ya nicole plzzzz
Taratibu mzee, tusije tukamwaga damu. Nimemuwahi mimi Nicole. Tafuta mwanamke mwingine.
sina rafiki shogaDuh!! kwani ni rafiki yako?
Kwahiyo Nicole Mbowe ni Shoga?sina rafiki shoga
Nicole niwa viwango hamwezi,bora atafute jike huko UVCCM.Tulia wewe UVCCM
hawezi kujiunga na wendawazimuNikimpata Nicole nitahakikisha ninamshawishi naye atajiunga na UVCCM.
Ni CHAWA pro MaxTaaluma yako ikoje
Mana naona umeweka sifa ya umoja wa vijana
Taaluma yangu ni HandsomeTaaluma yako ikoje
Mana naona umeweka sifa ya umoja wa vijana
Naona vijana wa JF mnanitazama kwa mbaali nikimuwinda Nicole MboweNi CHAWA pro Max
Wengine walisema, hawaandamani kwa sababu Mboye na familia yake wanakuwa wametulia.View attachment 3105312
Hili jambo limekuwa linaniumiza sana Moyo wangu. Imebidi nije humu JF niiambie dunia yanayousibu moyo wangu. Mtoto huyu moyo wangu unatembea nae. Jana nimatafakari kwa kina na kuona liwalo na liwe.
Niambieni nitoe Mahari ya sh. ngapi ili Mbowe awe baba mkwe wangu?
View attachment 3105316
Nikimpata Nicole nitahakikisha ninamshawishi naye atajiunga na UVCCM.
Niambieni wanachadema nawezaje kumpata huyu?
Mboye ni nani?Wengine walisema, hawaandamani kwa sababu Mboye na familia yake wanakuwa wametulia.
Sasa jana Mboye na mtoto wake wameandamana frontline na kukamatwa! Hili tunaliwekaje sada?
Mimi nimeishaedit, wewe baki nayo hiyo hiyoMboye ni nani?
Sasa unanikasirikia kwa makosa yako? 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mimi nimeishaedit, wewe baki nayo hiyo hiyo