Nampongeza Mbowe, Mtoto Wake Nicole Mbowe

Nampongeza Mbowe, Mtoto Wake Nicole Mbowe

View attachment 3105312

Hili jambo limekuwa linaniumiza sana Moyo wangu. Imebidi nije humu JF niiambie dunia yanayousibu moyo wangu. Mtoto huyu moyo wangu unatembea nae. Jana nimatafakari kwa kina na kuona liwalo na liwe.

Niambieni nitoe Mahari ya sh. ngapi ili Mbowe awe baba mkwe wangu?

View attachment 3105316

Nikimpata Nicole nitahakikisha ninamshawishi naye atajiunga na UVCCM.
Niambieni wanachadema nawezaje kumpata huyu?
Mashawishi baba yako na uko wako wanatoshaa

NICOLE hana njaaaa kama wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom