Nampongeza Mbowe, Mtoto Wake Nicole Mbowe

Nampongeza Mbowe, Mtoto Wake Nicole Mbowe

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
31,755
Reaction score
89,780
1727174217449.png


Hili jambo limekuwa linaniumiza sana Moyo wangu. Imebidi nije humu JF niiambie dunia yanayousibu moyo wangu. Mtoto huyu moyo wangu unatembea nae. Jana nimatafakari kwa kina na kuona liwalo na liwe.

Niambieni nitoe Mahari ya sh. ngapi ili Mbowe awe baba mkwe wangu?

1727174415058.png


Nikimpata Nicole nitahakikisha ninamshawishi naye atajiunga na UVCCM.
Niambieni wanachadema nawezaje kumpata huyu?
 
Yule askari nae inaonekana alimuelewa maana alikuwa anamshikashika kama anampapasa papasa hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom