Nampenda tatizo namuogopa

Siku ukibalehe hutaogopa. Subiri muda wako ufike.
 
Kijana mbona unaleta masyara katikati ya utani,yaani mtoto mpaka anaitikia wito,yaani kwa wazee wa mipira iliyokufa pale ilikuwa ni gori tu.Kitendo kukubali kuja pindi unapomwita iyo ni hatua kubwa sana.....kaisha uyo wewe fumba macho tu,umeze kiwembe.
 
nitumie namba yake na ya kwako PM pamoja na majina yenu niwaunganishe......
 

Pole. Unapaswa kujiamini tu hakuna dawa nyingine. Kumbuka tu kuwa mwanamke ameumbwa kutongozwa na wala kwa kufanya hivyo hakuna hatari yeyote. Usiogope jibu wala usimuogope yeye maana mwenzio kila siku anatongozwa na suala la nini amkubalie lipo mikononi mwake. Kamwage sera, acha uoga usio na maana! Kama unshindwa kabisa mpigie hata simu, lol!
 
Usikute huyo bi dada alishakupenda siku nyingi, anasubiri tu nawe ujitutumue useme neno moja tu kuwa unampenda...
Hivyo jiamini hakuna kingine. ..
 
kama ela kakukopesha hata penzi utakopeshwa tu.
 

chukua like mkuu
 
Last edited by a moderator:
Ndio sababu ya kutoacha nyeto..yaani mishe za kumtongoza mtoto wa kike ni shughur pevu.naona isiwe shida...nawaachaga na papuch zao.Mazima
 
Wewe nawe umezidi udomo zege,kama huwez kumwambia face 2 face si umtumie message. Acha udhumbukuku.
 
Yaani umepata ujasiri wa kumkopa demu lkn umekosa ujasiri wa kumtongoza!!!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…