Nampenda tatizo namuogopa

Nampenda tatizo namuogopa

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
219
habari zenu wanajamvi
jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya kuonana naye kweli mtoto akaja nyumbani alipo fika kama kawaida woga ilibidi nibadili shida yangu nikajikuta namkopa pesa ingawa sikuwa na shida ya pesa.sas wanajamvi wenzangu naombeni msada nifanye nn kuuondoa huu woga kwa huyu mtoto?
 
Nipe nö zake za simu!
Ntakuwekea sawa wewe ukauchomeke tu!
 
mda bado haujafika hakika ukifika hutokuja hapa jamvini kuuliza jinsi na namna ya kufanya .utaona imetokea tu automatic upo naye kwenye mahusiano.
 
habari zenu wanajamvi jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya kuonana naye kweli mtoto akaja nyumbani alipo fika kama kawaida woga ilibidi nibadili shida yangu nikajikuta namkopa pesa ingawa sikuwa na shida ya pesa.sas wanajamvi wenzangu naombeni msada nifanye nn kuuondoa huu woga kwa huyu mtoto?
swali la kizushi' we mvulana au mwanaume?
 
Nimemzimikia kia mtoto wa geti kali lakin kumwambia naona hatari lakin je je anaweza kula ugali na kurumangia na kachumbali?

=========================
Ukipa Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa.
=========================
 
Dogo, kama huna ujasiri fanya uutafute. Kuna bang, viroba na hata sembe, tumia hivi kwa kiasi halafu muite tena home.

Safari hii sio tena kumtongoza, safari hii ni shuti moja mpira nyavuni, yani mtoto lazima umgegede.
 
Dah humu ndani kila cku watu wanataka kufundishwa kutongoza,inashangaza lakini ni kweli!!
 
Watoto mmetokea wap humu?........ Hebu nenda kwa mama kule atachapa umechelewa kujisomea home work
 
yaani kukopa umeweza kutongoza umeshindwa??? wasalimie MOSHI....
 
Hivi matokeo ya mtihani wa Darasa la saba ulioisha juzi huwa ni lini?
 
habari zenu wanajamvi
jamani mimi natatizo mmoja kuna binti nampenda lakini shida inakuja pale napotaka kumumwagia sera zangu nashikwa na woga kunapindi nilimpigia simu nikamwambia nashida ya kuonana naye kweli mtoto akaja nyumbani alipo fika kama kawaida woga ilibidi nibadili shida yangu nikajikuta namkopa pesa ingawa sikuwa na shida ya pesa.sas wanajamvi wenzangu naombeni msada nifanye nn kuuondoa huu woga kwa huyu mtoto?

Kwa hiyo wewe domo zege sio?.
 
Humpendi huyo binti
 
masanzu ngoja nikupe story niliyoisoma zamani kidogo.

Juma alikuwa kijana mtanashati sana. Mabinti wengi wa kijiji cha Chekereni walimpenda, lakini Juma hakujua ni jinsi gani aseme. Kati ya mabinti hao alikuwepo msichana mrembo sana Juliet. Juma alimpenda sana Juliet ila kama kawaida hakuwa na ujasiri wa kumwambia.

Siku moja akaenda kwa mganga kijijini kwao ili ampe dawa ya kumfanya apate ujasiri wa kuongea na Juliet. Mganga akampa dawa, akamwambia ipake mkononi kisha nenda kaongee naye. Juma alichukua dawa na kwenda kuongea na Juliet. Walikubaliana na harusi kubwa ikafanyika kijijini kwao. Baada ya harus Juma akaenda kwa mganga kumshukuru. Mganga akamwambia.."mwanangu, sikukupa dawa yoyote yale yalikuwa ni majivu tu, nilichofanya ni kukupa ujasiri.". **story imeishia hapo**.
 
Last edited by a moderator:
yaani kukopa umeweza kutongoza umeshindwa??? wasalimie MOSHI....

Hahaha jamaa anakipaji, ameweza kutongoza mkopo ila anashindwa kutongoza apewe papuchi! Duh kwel watu wako na vipaji tofauti!

Anyway bado hujampenda kwa hisia za kimapenz kama unavyotaka wewe bali umempendea chapaa yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom