nampenda sn lkn yy ni headache kila cku

nampenda sn lkn yy ni headache kila cku

Mbona sijaona sehemu ambayo inaonesha hakupendi? Umesha wai kumueleza kuwa simu unazo pigiwa asiwe na wasi wasi nazo?

Mlisha kaa chini mkaongea?
Akiacha wivu hutooji?

wivu nao ukizidi inakuwa kalaha
 
Binti! Nakuunga mkono kwa jinsi unavyoichukulia hii hali!
Nakiri hili ni tatizo la vijana wengi ktk mahusiano,suala la kwanza inabidi kijana ajue wanawake ni viumbe dhaifu na huwa wanaendeshwa na kile wanachokisikia ila mwanaume ni ktk macho,...........
Mketishe jamaa yako,mwambie kinagaubaga vitu unavyovipenda na usivyovipenda,kama ni mweye hekima haya maneno utakayomueleza atayachukulia hatua.jitahidi ktk kujenga sio kuvunja uhusiano there is no perfectman on this earth hata ukija kwangu ama kwa Ruttashobolwa wote tuna madhaifu xo be care and take care coz mwishoni wewe ndie utakayegain ama kuloose na kuumia moyo
 
Last edited by a moderator:
Anaogopa wanaume wanaokupigia watakupata kwa kukutajia mademu zake tofauti na ww.
 
Ukitaka kujijua kuwa unazeeka au umepitwa na wakati...ni pale unapokereka na lugha kama hizi!

CC, yy mm na bb 2kaend c kukaw n kel2 nyng xana. Ss mmsai akaj na pang anauza wa2 wa2 wakannua.

Umesoma eehn? Usipopenda hapo umekwisha!
 
Unataka uambiweje? Anakupenda sana ndio maana anakuonea wivu si eti?

Maana hujaweka clue yoyote inayoonesha hakupendi.

Tuambie nini unachotaka ili tukupe kati ya
1: assuarance ya upendo wake kwako au
2: justification ya wewe kumuacha
Coz girl we are equiped with all that!

Hapo sasa! Sio anakuja na maswali mepesi wakati watu wana majibu magumu.
 
Ukitaka kujijua kuwa unazeeka au umepitwa na wakati...ni pale unapokereka na lugha kama hizi!

Kwa kweli wangetuhurumia tu sie wazee! Maana mtu unasoma neno moja unaanza kufikiria lina maana gani, mpaka umelize sentensi ushasitasita mara 10 kutafuta maana ya hivyo vifupisho vyao vya facebook.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom