Nampenda sema namuogopa

Nampenda sema namuogopa

Avant ft. Nicole Scherzinger - Lie About Us

Mkuu BAK ulipoteleaga wapi!???
 
Last edited by a moderator:
Nilifikiri unampenda lakini unaogopa kumwambia..kumbe mlishawahi kufahamiana. Sasa unamwogopea nini?
 
Acha mawazo dhaifu,kaa chini naye uongee naye wacwac wako,ujue msimamo wake.
 
Huyo anafaa mana amejifunza huko alipopita. Now anahitaji mtu sahihi
 
Back
Top Bottom