Habari zenu wana jf, km ni wazima w afya bas hii ndo furaha yetu sote. Mwenzenu kuna binti nimempenda sana na ni bint ambaye nataka nimuandae kwa kumuoa lkn nakuwa bize sana na kaz, hata nikipata nafas ya kumtafuta cmpat, bas huwa anashinda 2 ndan kwan hii pia tabia aliejijengea kukaa ndan mara kwa mara, sasa sijui nifanyaje ili nimwambie linalonisumbua moyoni kwan, she is the gal of my dream. Ushauri wako tafadhari. Help me pleaz.