daah mapenzi bwanaa!! Rubii kila siku ananiomba nisimuache,nisimsaliti lkn miee hata bado sijaanza kumfikiria!! Ajabu kidume mwenzangu anajitangaza kabisaa kuwa yuko vzr kipesa lkn hatakiwi
hata mimi nampenda sana miss chagga japo tayar ni baby wangu ila siku akiniacha nahisi nitakuwa chizi.... mmmmwaaah miss chagga i will never let you go!!!

Muamala wa huduma za majeneza, kwahiyo ukiolewa utakuwa unajihimu asubuhi muhimbili kufungua duka la majeneza duuu biashara nyingine zataka moyo kwakweli. RUBIII usiseme unanuksi watu wamekujia hebu funguka buana