Nampenda sana mume wangu lakini kanikatisha tamaa, nimelazimika kujitenga nae.

Heh! Sasa kama utakuwa hautoki msikitini tutakula nini baba?
Mie ni mkristo lakini napenda kumuona mtu ana hofu ya Mungu wake anaemuamini. Mungu akusaidie uweze kutimiza matakwa yake na akuweke mbali na uzinzi. Manake katika shida za wanawake, hakuna anaelalamika mume hamtunzi wala hamjali, cheatings ndo.zinaumiza zaidi. Hata kama ni issue ya wakewanne taratibu zikifuatwa haitokuwa cheating.
 
Pole sana mbalisana kwa masaibu yanayokupata. Kiukweli habari hii imenigusa kama mwanaume na imenipa uchungu mwingi sana wa namna ambayo tunaweza kuwaumiza wenzetu na kuwafikisha wasikotarajia. Mengi wamekushauri Kina gfsonwin, Yericko Nyerere, Kaunga (Just to mention the few...)

Kiukweli inahitaji maombi mazito pamoja na juhudi za kibinadamu ambazo bado sijaona kama umeshazichukua... Hadi unafanya maamuzi ya kwenda kwenu/kutengana je umewapa nafasi wasimamizi wenu wa ndo, wazazi mshenga nk kujaribu kuwaweka chini na kusikiliza shida yenu? Penye wengi hapaharibiki neno naamini akikalishwa chini wa wasuluhishi niliowataja pamoja na wengineo kama hao na kwakuwa ni binadamu mwenye moyo wa nyama + Maombi hakika atabadilika...Ni hayo kwa sasa Pole once again!
 
Pole sana! Nami naunga mkono uamuzi wako wa kutengana naye. Endelea kumuomba Mungu na kumuombea na yeye pia yumkini atabadilisha tabia na kugeuka na kuziacha njia zake mbaya.

Kwa sasa hivi kaa chini utafakari namna ya kuendesha maisha yake na familia yako kwa ujumla. Jaribu kuwa busy ili kufuta mawazo juu yake wewe ili kupunguza maumivu ya moyo. Naamini Mungu atakutangulia na kukupitisha ktk kipindi hiki kigumu.
Kila la kheri.
 
Mkirua
mara zote huwa nasema mama unalala nn saaa 8 usiku?? mama mwenye mume na watoto saa 8 umelala?? umesahau kwamba wewe ni jeshi?? na sifa ya jeshi ni kuwa tayari muda wote?? tena unakuwa na mazoezi makali?? yaani huwaga wamama wa WAWATA parokian kwetu wanakomaga. usiku saa 8 naanza kuwaamsha haya jeshi la Yesu amkeni tupashe kwaajili ya kujiweka sawa. hapo lazima tufunguke maombi ya saa moja kisha ndo wenye kwenda job wanaanza kujiandaa. siku hiz parokian kwetu uspime kila mama ndoa yake inaelea kwenda mbinguni, watoto tunawafunika adui asiwaone na kwakuwa tumetangaza vita basi hatutakiwi kuchoka manake nae ibilisi anatafuta tumechoka wapi ili atuangushe.

nawausia hata wale walioko kwenye ndoa zao jamani jitahidin sana kusali sali pasi kuchoka ombea ata mwili wa mumeo utaona wema wa mungu. yani mm ukinkuta namwombea hubby unaweza kusema Mungu hayuko hivyo lkn ndo ananisikia na kutenda. mm kumwambia mungu naombea uume wa mume wangu usiingie kwa mwanamke mwingine ila mm na wala chupi yake asitamni kuivua kwa mwanamke nisiye kuwa mm sioni aibu kiukweli.
 
Last edited by a moderator:
Get DVD ya T.D.Jakes "Let It Go" that will help you a lot. Get it in (You Tube). And also Yvonne Machaka's (Yvonne Chakachaka) "Let Him Go"....and move forward from there.

God will do something in your life. He will change IT because He (GOD) is sufficient. Sufficient was He ever since you were born naked, poor and illiterated. He is sufficient even before you were born.

He (GOD) is The benefactor of all mankind....Take control of your own through HIM and "LET IT GO". Let every situation, pain and all ladens and burdens casted to HIM.

You are an "eloquent woman" though a husband were supposed to a man of valour and fail to be,...be strong. Woman, be strong woman!

Only two combined phrases "Let it Go and Let him Go" will help to incline your ears and illuminate your broken heart.

With Every Blessing,

Thando & Thanda's Hospitality Desk.


 
POLE SANA. Yani situation yako ni kama yangu kwa kiasi kikubwa. tofauti ni kwamba mumeo anatembea na makahaba. wangu sijui ndo karogwa na hawara tena mke wa mtu, wacha nimtaje tu anaitwa rehema mfugale yupo peackok hotel. yani huyu dada sijui ni pepo ama vipi maana imefikia hatua ya kunipigia cmu wakiwa gesti eti nisiwasumbue na mume wangu siri zote za ndani hupeleka huko. Yan nikimjua mumewe nitamwambia ndo then nitawaacha waendelee kuzinzika, mpaka wachoke. lo wanawake sijui tukoje na vijana wanakimbilia kuoa ili wajipe status kumbe bado watoto lo. ila just give yourself time, i will do that later when am done with tis stupid lady
 
Even Chain Prayer because ".......Nothing But Prayer" Mark 7: 27-29

 
Hehehe, umbea kazi! Si ukamsemee kwa kakake? Wallah naenda kumuambia kakake amkanye ama amtafutie kijana wa kwenu amuoe. Afu wanaringa na hicho kilugha chenu am? Japo kakake nae anafukuzia mke wa mtu. Wamelogwa hawa watoto. Pole mwaya, mpotezee huyo mumeo nae akili za kupuliziwa.
 
uwiiiiiiiiii mmeo kaangukia kwenye penzi la rehema mfugaleee??
dada komaa sana, kwa maombi.
 

Sikujua kuwa mkatoliki.
 

Aisee!!!!!!!!
 
Thank you very much "Mtu wangu" . We are Fine and Blessed Couple gfsonwin. How is Klein and others? This Thando of mine is fine....Bwana Harusi akiwa, no need of fasting anymore..."Its her time to break the ice" as long as dad is there.

its true Thanda, GOD can do what people can't do. salam kwa Thando.
miss you jamani.
 
Last edited by a moderator:
Nimekaa nae sana,mpaka wazazi wake wamekaa nae na kuuliza tatizo ni nini hasemi tatizo,nimemuomba anisamehe kama mimi ndo tatizo anambie nijirekebishe wapi anatulia siku mbili ananimbembeleza asubuhi jioni tukio lingine kubwa zaidi linatokea. nakumbuka kuna siku mpaka mamake kalia mbele yangu akimsihi mwanae abadilike.
 
Sikujua kuwa mkatoliki.

yaani hilo ndo uliloona lol! mie nilikuwa mlutheri ila nikaolewa na mu-rc so nikaona nalazimika kusali pamoja na baba na watoto. na namshukuru Mungu sijaona tofauti kiviiile.
 
Thank you very much "Mtu wangu" . We are Fine and Blessed Couple gfsonwin. How is Klein and others? This Thando of mine is fine....Bwana Harusi akiwa, no need of fasting anymore..."Its her time to break the ice" as long as dad is there.

hahahahah! thats so sweet for her jaman!................. Klein and others are doing good.
 
yaani hilo ndo uliloona lol! mie nilikuwa mlutheri ila nikaolewa na mu-rc so nikaona nalazimika kusali pamoja na baba na watoto. na namshukuru Mungu sijaona tofauti kiviiile.

Ha hahahaha
hapana, mapwenti nilishayaona ya kuzidi; ukimaliza points si unaangalia other skills like writing and choice of words, si ndio nikaona WAWATA halafu nikakumbuka jinsi gani nilivyo mvivu kwenye vyama vya kitume n.k
Any way sijawa dhehebu lingine zaidi ya Ukatoliki, lkn l always have open mind na hivyo nachukua mazuri kutoka madhehebu yote hata Islam while keeping my faith (Kanuni ya Imani).
 
Hayatuhusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…