Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
Muoe sasa ndio wivu utaisha
mpe tembo card master card yako
Dogo,Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?
Dogo,
Angalia humo kwenye bluu~
Huku si kupenda sasa ni matatizo!
Nyie ndio mnapata heart attack mkitemwa baadae!
Mapenzi ni hatua, nenda taratibu...Ukiyaendea pupa mapenzi yanaua!
Ana haki ya kuwa na wivu coz anakupenda nawe jitahid kuwa muwazi
tena kuwa mwangalifu coz kama hamjaoona anakuwa na wivu mkioona hata ndani hutatoka, ningekushauru uwe wazi kwa kila ufanyalo ili kumuondolea wasiwasi, isitoshe usifanye kitu chochote kwa kuigiza, anatakiwa akujue in out.
hili nalo neno!!mpe tembo card master card yako
Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?

kazi uzi, endelea kumpenda. Huko mbeleni atakuja kujuwa kuwa unampenda. Wivu ni kitu cha kawaida ktk mapenzi, hususan linapokuwa penzi ni jipya! no worries, songa mbele.
kama kwel anakupenda jarb kumwomba tg akikubali ndo utajua kwel anakupenda!
tembea na mdogo wake ili atie akili