Kwa heshima inayokustahili mkuu utafiti, nadhani hii umemsemea. If she gets everything then go find another uone kama hatorudi.
Sometimes she just not that into u n if u think u should go u must go.

kaka hebu kuwa SINGLE BOY kama mimi yaan kupendana mwisho siku moja!
siku ya pili unachukua mwingine hautaumia ng'o!
mimi mwenzio sitendwi kibwegebwege!!!
act as a man with strong decission.....
Pole mkuu nnachokuomba tu tia nia kweli halafu usijaribu ata kumtumia sms achilia mbali kumpigia,kisha usikubali kua idle jichanganye na watu,ungekua mtu wa mambo yetu yale ningekuita sehem saa hz tushtue shtue!angalizo hawa watu hawapendwi 100pcnt!

jamani kaka na dada zangu..huyu msichana nampenda sana ila kila mara tunakosana..najaribu sometimes kukubali kosa na hata kuomba radhi but mh! hata kama nampenda sana naona mimi sio chaguo lake..nabebembeleza kila siku am tired wakuu nimesema basi basi basiii..hata kama una uzuri wa malaika ila usinifanyie ivo...tunaambiwa wanawake ni 75% ya watu duniani right? nitapata mwingine......