Ushauri wa bure huu hapa: Jamaa tafuta MCHEPUKO. Itakuepusha na mengi kwa sasa na baadae.
Mkuu piga chini haraka hata mimi hayo yalinitokea nikafanya yafuatayo.
Nikawa punguza mawasiliano ya simu na kutuma text, nikaacha kumfatilia kama zamani wala ckutaka nimuoneshe wivu kama zamani hata simu yake nikawa nikikuta busy simind wala kuulza kama zamani, nikawa naishi kigum mpaka yeye akaanza kushangaa, thenly badae automatically nikajikuta nazoea kuishi bila ukarbu wake pia at the same time nikawa natafuta mbadala wake mtu sahihi, so nilipokuja kumpata basi nikajikuta nazama ndio nikatoa na tamko kali kabisa kama la Kamanda Mbowe na UKAWA kwa yule mwanamke wa zamani kuwa its over.
Naona mstari wa mapenzi ushauvuka...uko upande wa pili wa u....
Huyo mdad anakupenda sana tena usmwache jua ameathrika kisaikolojia na kuwa unfaithfull kw wanaume kutokana na yule wa kwanz alvyo msalit hvyo anaogopa kuingia mazma kwenye malove nenda nae step by step.
kumpenda mtu asiyekupenda ni sawa na kusubiri meli airport.
Wakati mwingine kuwa na mwanaume anayekupenda sana ni kero, inaelekea hata akikosea humgombezi unaogopa kumkera hivyo umemfanya akuchukulie kama zoba tu.... Kwa kweli mie bora mwanaume awe na kaukorofi kidogo ila mtu ambaye kila nnachomwambia yeye ni ndio tu wala simuwezi

Mpe Atm card yako na password tuone.