Nampenda sana ila nahisi ananitesa.

Nampenda sana ila nahisi ananitesa.

jolly

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
34
Reaction score
6
Habari za asubuhi wanajamvi.
Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo lililopo nikwamba kuna mambo huwa anayafanya mm yananiumiza sana namwambia mwenzangu anaomba samahan na kuniambia ananipenda sana kwasababu nampnda sn naamua kumsamehe,nampenda sn cjawahi kumsaliti na wala sina hata mawazo hayo ila sasa nahisi yy anachukulia hyo kama advantage ya kuninyanyasa kihca....yy anaishi Mtwara anafanya kaz huko na mm n mwajiriwa mkoa wa Mwanza,namshukuru Mungu tuko hatua za mwisho za maandaliz ya haruc yetu maana tunafunga ndoa sept 14.mambo anayonfanyia mpka nahisi hisia zangu kwake zinapungua ,nisaidien Mwenzenu nifanyeje mapenz yangu kwake yasipungue zaid? .
 
mambo gani sasa dada,
pole lkn,
alafu fanya maamuzi sahihi hakuna ataeweza kukusaidia,
all ze best.
 
Chezeya NDOA nyie! Bi dada hapo keshaiona tarehe, atasubiria mpaka basi!!!!!!!!! Hata apigwe miskadi ya Nato!
 
too general, mimi sijakuelewa dada yangu, may be uandike fresh tena..............
Habari za asubuhi wanajamvi.
Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo lililopo nikwamba kuna mambo huwa anayafanya mm yananiumiza sana namwambia mwenzangu anaomba samahan na kuniambia ananipenda sana kwasababu nampnda sn naamua kumsamehe,nampenda sn cjawahi kumsaliti na wala sina hata mawazo hayo ila sasa nahisi yy anachukulia hyo kama advantage ya kuninyanyasa kihca....yy anaishi Mtwara anafanya kaz huko na mm n mwajiriwa mkoa wa Mwanza,namshukuru Mungu tuko hatua za mwisho za maandaliz ya haruc yetu maana tunafunga ndoa sept 14.mambo anayonfanyia mpka nahisi hisia zangu kwake zinapungua ,nisaidien Mwenzenu nifanyeje mapenz yangu kwake yasipungue zaid? .
 
habari za asubuhi wanajamvi.
Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .tatizo lililopo nikwamba kuna mambo huwa anayafanya mm yananiumiza sana namwambia mwenzangu anaomba samahan na kuniambia ananipenda sana kwasababu nampnda sn naamua kumsamehe,nampenda sn cjawahi kumsaliti na wala sina hata mawazo hayo ila sasa nahisi yy anachukulia hyo kama advantage ya kuninyanyasa kihca....yy anaishi mtwara anafanya kaz huko na mm n mwajiriwa mkoa wa mwanza,namshukuru mungu tuko hatua za mwisho za maandaliz ya haruc yetu maana tunafunga ndoa sept 14.mambo anayonfanyia mpka nahisi hisia zangu kwake zinapungua ,nisaidien mwenzenu nifanyeje mapenz yangu kwake yasipungue zaid? .

hujasema hata tatizo nini afu unataka ushauri.anakufanyia nini?mambo gani?katika hali gani?wakati gani?eleza vizuri tukusaidie
 
Mficha uchi hazai!
Fungukaaaa!
Mambo gani yanakuumiza?
.....

Habari za asubuhi wanajamvi.
Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo lililopo nikwamba kuna mambo huwa anayafanya mm yananiumiza sana namwambia mwenzangu anaomba samahan na kuniambia ananipenda sana kwasababu nampnda sn naamua kumsamehe,nampenda sn cjawahi kumsaliti na wala sina hata mawazo hayo ila sasa nahisi yy anachukulia hyo kama advantage ya kuninyanyasa kihca....yy anaishi Mtwara anafanya kaz huko na mm n mwajiriwa mkoa wa Mwanza,namshukuru Mungu tuko hatua za mwisho za maandaliz ya haruc yetu maana tunafunga ndoa sept 14.mambo anayonfanyia mpka nahisi hisia zangu kwake zinapungua ,nisaidien Mwenzenu nifanyeje mapenz yangu kwake yasipungue zaid? .
 
tatizo nn?
halafu shida nyingine wadada mmejisahau, do u think bila Mungu utaendelea na hyo ndoa ww?
my dia utaumia mpaka ukome,na ndoa unaitaka
muombe sana Mungu manaake naona hapo km satani is @ work, ukicheza tu imekula kwako...omba sana
 
pole sana dada ingawa hujafunguka vizuri. ila kama ni ndoa ya kikristo bado unamda mzuri wa kufanya maamuzi,hata ck ya harusi utahojiwa km ukotayari kuolewa nae. afadhali ukosee njia utaelekezwa, ila ukikosea a right person, dah!
 
Habari za asubuhi wanajamvi.
Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo lililopo nikwamba kuna mambo huwa anayafanya mm yananiumiza sana namwambia mwenzangu anaomba samahan na kuniambia ananipenda sana kwasababu nampnda sn naamua kumsamehe,nampenda sn cjawahi kumsaliti na wala sina hata mawazo hayo ila sasa nahisi yy anachukulia hyo kama advantage ya kuninyanyasa kihca....yy anaishi Mtwara anafanya kaz huko na mm n mwajiriwa mkoa wa Mwanza,namshukuru Mungu tuko hatua za mwisho za maandaliz ya haruc yetu maana tunafunga ndoa sept 14.mambo anayonfanyia mpka nahisi hisia zangu kwake zinapungua ,nisaidien Mwenzenu nifanyeje mapenz yangu kwake yasipungue zaid? .

it seems kama vile jamaa anakuchit hii ni hatar na magonjwa yote haya kama kwel anakupenda inabid asikutese and ur abaut to get merried pole
 
Habari za asubuhi wanajamvi.
Mm naomba msaada wenu,mm n binti ambaye nko kwenye mahusiano na kaka ambaye tuko na mahusiano kwa mda mrefu na sasa hivi tupo kwenye hatua ya kuishi pamoja .Tatizo lililopo nikwamba kuna mambo huwa anayafanya mm yananiumiza sana namwambia mwenzangu anaomba samahan na kuniambia ananipenda sana kwasababu nampnda sn naamua kumsamehe,nampenda sn cjawahi kumsaliti na wala sina hata mawazo hayo ila sasa nahisi yy anachukulia hyo kama advantage ya kuninyanyasa kihca....yy anaishi Mtwara anafanya kaz huko na mm n mwajiriwa mkoa wa Mwanza,namshukuru Mungu tuko hatua za mwisho za maandaliz ya haruc yetu maana tunafunga ndoa sept 14.mambo anayonfanyia mpka nahisi hisia zangu kwake zinapungua ,nisaidien Mwenzenu nifanyeje mapenz yangu kwake yasipungue zaid? .

Hayatuhusu.
 
Mungu akusaidie mpendwa,akupe Hekima,maarifa,akili ya kuishi naye,kingine uwe unamuombea kwa Mungu kwani kwenye mafanikio shetan huleta vipingamiz mrad ushindwe na safari ya kuingia kwenye ndoa yako,Mungu akutangulie!
 
Back
Top Bottom