Nampenda sana huyu

Bora tu usiifahamu hiyo sababu ya wewe mtoto wa kiume kumpenda mwanaume mwenzako mpaka ukapitiliza. Maana utajikuta unaanza tu kuvaa sketi na blauzi pasipo kujua.
 
Kama unapenda muuaji na wewe utakuwa mtoto wa shetani
 
Hakika Bavicha watapata tabu sana suluhu ni kuhama nchi tuuu!
 
Muajiriwa mpya wa Lumumba,kajiunga JF 15/10/2019
Buku7 group
 
M
Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Kiongozi umeshawahi waona watu wenye MTINDIO WA UBONGO???? hongera sana kwa kuwa na NYOTA YA PAKA KUPENDWA NA WACHAWI!!πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
WEWE UNAIMBA SAUTI YA NGAPI KWENYE MAGUFULI PRAISE SINGER'S CHOIR???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†
 
Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?

Pongezi from Deutschland. I like him too. Na naelewa pia Yeye Ni binadamu kama Sisi. Makosa na changamoto ndogo ndogo gehΓΆren dazu. La msingi Ni Yale ya kitaifa. All the best mr. President.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…