jonathan kessy
Member
- Mar 14, 2018
- 45
- 33
Mkuu m2 humjui unampenda ghafla una hatar
😂😂😂😂😂😂😂😂Hakuna mahusiano kati ya mbwa na binadamu,muache mtoto wa watu
Hasa ikivutiwa chooni.Bangi mbaya sana!!
Ameanza kumpenda,hatua inayofuata ni kumjua.Mkuu m2 humjui unampenda ghafla una hatar
kwan ukija jf na ukisema unampenda mtu fulan ss inatuhusu nnUlimfanyia diagnosis ukagundua kuwa ana kisonono au wivu tu ndio unakusumbua mkuu?