Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 6,289
- 10,964
Nisiwachoshe sana niende moja kwa moja kwenye mada.
Kilichonisukuma mpaka kukosa usingizi muda huu saa 6 usiku ni haka kadada
ambako kamekuwa kanaigiza na muigizaji maarufu comedy Lukas Mhuvile almaarufu kama"Joti"
Haka kadada kanakoonekana sana kwenye video za Joti kanatumia jina la Mwantum
Ukweli tangu nimeanza kuangalia video zao nimetokea kumpenda sana huyu mdada jamani kama kaka Joti yupo humu naomba msaada hata Pm namba zake za simu tu nijaribu bahati yangu au kama mdada yupo humu please njoo Pm tuyajenge.
Usiniogope najua kuna watu watasema maneno mabaya eti mie muuza majeneza siwezi kuishi na mrembo kama wewe lakini nakwambia nilishaacha kuuza majeneza siku hizi nauza vumbi la Kongo.
Hivyo pesa sio tatizo tena.
NjooPm tuyajenge.