kelvin kilalwe
Member
- Jan 8, 2016
- 65
- 35
kung'unta viboko huyo ili akil imsogee
Pole kijana kwa swala hilo mm nakushauri uumuulize na umwambie wazi na aeleze kama kweli yko na wewe na akwambie ametoka na wangap na umuulize yeye ana mpango gani nakwambia unaweza kungangania mchumba kumbe hakupendi na wapo wanao kupenda kwa dhat asikusumbue mwambie aseme hatima yake, juu yako wanawake ni wengi sana hakuna haja ya kuumizana na ni wauni sanaWadau naomben ushaur.
Mim ni kijan na nimekuw na binti ni mpnz wang kin mpaka wazaz wameshafaham yan kwet na kwao na nimewah at kumpelek hom ila haikiw uchumba official ni katik mbinu za kumridhisha.
Huy mpnz wang huwa anadai ananipenda san tangu nip nae nnasom amekuw na mimi akinivumilia had nimemaliz na sasa ninatafta ajira bad nilikuw nae.
Lakin tatiz la huy mpnz wang huw akiwa na shida haniambii af matokeo yak nimewah kumkuta na m2 mwingne wanamahusiano mara2 yan mara ya kwanz niliwah kumfumania na mwanaume akaniomb msamah san yan akanibembelez san zaid ya miezi miwil analia nikaw nimemsameh lakin sas nimekuta ten kweny cm yak kun mtu mwingin nae wanamawasiliano ya kimapenz na ni miez minne5 tang nimemsameh kosa la kwanz.
Nilichokifany nimemwambia tumevunja uhusiano sas tang juz ananibembelez san nashindwa kumsameh kwa sabb roh inanium lakin moyon ninampenda san kias had nnashindwa kula wal kupat usingiz mbay zaid anapolia machoz ananiumiz zaid ukizingatia nina miak4 nip nae.nawaz san nakosa jibu la kufany.
Co hivyo kwenye mapenz 6/6 namzidia mbali sana mudamwingine huwa adi namuonea hurum namzidi pumzi had saizi na kila kituUtawaonea huruma wangapi Dunia hii? Ukiamua amua kiume move on baba au hujiamini mdogo wangu? Unakijiufito nini unaogopa kutangazwa![]()
![]()
Wadau naomben ushaur.
Mim ni kijan na nimekuw na binti ni mpnz wang kin mpaka wazaz wameshafaham yan kwet na kwao na nimewah at kumpelek hom ila haikiw uchumba official ni katik mbinu za kumridhisha.
Huy mpnz wang huwa anadai ananipenda san tangu nip nae nnasom amekuw na mimi akinivumilia had nimemaliz na sasa ninatafta ajira bad nilikuw nae.
Lakin tatiz la huy mpnz wang huw akiwa na shida haniambii af matokeo yak nimewah kumkuta na m2 mwingne wanamahusiano mara2 yan mara ya kwanz niliwah kumfumania na mwanaume akaniomb msamah san yan akanibembelez san zaid ya miezi miwil analia nikaw nimemsameh lakin sas nimekuta ten kweny cm yak kun mtu mwingin nae wanamawasiliano ya kimapenz na ni miez minne5 tang nimemsameh kosa la kwanz.
Nilichokifany nimemwambia tumevunja uhusiano sas tang juz ananibembelez san nashindwa kumsameh kwa sabb roh inanium lakin moyon ninampenda san kias had nnashindwa kula wal kupat usingiz mbay zaid anapolia machoz ananiumiz zaid ukizingatia nina miak4 nip nae.nawaz san nakosa jibu la kufany.
Nitafanya hivyo broPole kijana kwa swala hilo mm nakushauri uumuulize na umwambie wazi na aeleze kama kweli yko na wewe na akwambie ametoka na wangap na umuulize yeye ana mpango gani nakwambia unaweza kungangania mchumba kumbe hakupendi na wapo wanao kupenda kwa dhat asikusumbue mwambie aseme hatima yake, juu yako wanawake ni wengi sana hakuna haja ya kuumizana na ni wauni sana
kama hujawai kuona wanaume wanavyoolewa zaid ya wawili ni mp nkuonesheUmewahi kuona wapi mke anaolewa na wanaume wawili kwa wakati mmoja na asiitwe malaya? Lkn mwanaume akioa wanawake wengi na kuwa hudumia vzr anapata sifa kwa jamii na kuonekana wa maana!
ndio alaf weng wamekua juu zaid ya wanaume hahaaaaa hii dunia banah kama m nahudumia watatu cjui hawajuan kweli au wanazuga ili niendelee kuwatunzaToa mchuma, weka mchuma. Umesahau kama wapo mara mbili yetu kwa idadi hao?? Tupa kureeeee
Sasa kama unamzidi una hangaika nae wa nini?Co hivyo kwenye mapenz 6/6 namzidia mbali sana mudamwingine huwa adi namuonea hurum namzidi pumzi had saizi na kila kitu
Wewe ni mpumbavu, huna haja ya kushauriwa unatupotezea tu muda hapa maana kwa kila utakachoshauriwa una majibu yake tayariIlikuw ni mapenz2 ukishampenda mtu ukamzoea huwa ndivyo ilivyo kumuacha nimemuacha ila sijui kwanini napomuona analia nnaumia af analia kweli adi nnajiuliza anataka kuniua au anataka nini zaidi
No sio ki ivyo sister me sijamng'ang'ania ila nilitaka ushauri nifanye nini nimeshamwambia tayari kuwa cmtaki tena ila ananisumbua sana nashindwa nimkwepe vipi af nikimuona namhurumia na pia sitaki ata jamaa zangu wajue make nilikuwa namsifia sana.Wewe ni mpumbavu, huna haja ya kushauriwa unatupotezea tu muda hapa maana kwa kila utakachoshauriwa una majibu yake tayari