Idd hashim
Member
- Jan 4, 2013
- 79
- 17
Jamaani nampenda saaana mpenzi wangu tupo kwenye mahusiano kwa mwaka wa nne sasa lakini hatujawahi kuduu cause baba ake ameamua kumtransfer mwenzangu kwenda shule nyingine so tunaonana mara 2 kwa mwaka, lakini mwenzangu haoneshi kumimic! Wana JF nipeni ushauri.