Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,770
- 25,419
Hhehehehehehee nili like comment yako ya kusema wajihi wa Dadii unafanana na wajihi wa Mahabat wako....
Nikaenda tafuta screen shot ya Wyatt narudi nijibu siioni... sijui mashokolo mageni au uzee. Basi acha nijibie hapa...
Dadii wa Kasie yuko humu kuhusu kumtaja mie hata sitomtaja ila akitaka mwenyewe atajitaja maana anasoma yote haya.Ikiwa Dadii wa Kasie ndo huyo huyo Mahabat wako, hehehehe mie ugomvi siujui na siuwezi, ila kumuacha Ddadii siwezi. Ukiweza wewe shughulika akiwa kwako akiwa kwangu nampa Mahaba trillion.
Dadiii.... unatafutwa hukuuuu
Ukiweza kuhimili shauku ya members wa JF jitaje tuu mie sina hiyana sinaga wivuu hata kigogo. Wakitaka wape ila dozi yangu iko pale pale, haiongezeki wala haipungui heheheheheee.
Kasie Matata.
Hahahaha
Mtoto una mapenzi balaa!