Muulizee kaka yake ana mapesa au hakujuiiiii
Kwa hiyo watu huwa tunaumiza vichwa kutoa ushauri kumbe mwenzetu unarefresh daah
heshima yenu wakuu
mie toka nijiunge humu siyo mtu wa kufatilia life ya mtu wala sipend kujuana juana sana
ila huyu dada miss chagga mie namzimia mbayaa naomba kama hajaolewa anambie nna kaka yangu husband material angefaa sana kuwa wifi yangu nataka nimpeleke kigali!
af mjue ni nini kuna wadada wanajikuta wasafi sana kumbe machangudoa tu, hawana uzuri wala hawajiheshim hata kidg lkn kwa post zao aaaaaah ni malaika!siye kina umu maneno meng meng twaonekana vicheche hahahah
mimi nipo kama nilivyo na ukinchukulia poa me nakuona hamna tu, usimjudge mtu kwa anachokiandika humu
we ar here just kurefresh na kufanya siku iishe n siyo kila tunachokiandika humu ni realty
mpo apo??
Kaka naye sijui akili zitakuwa kama za dada
miss Chagga akimbie kama ni hivyoUwezekano mkubwa. Tumbo moja hao. That will be a disaster!
Haya Miss Chagga zingatia hayo kwenye RED toka kwa Umukagame!
miss Chagga akimbie kama ni hivyo
ngoja nionane nae nitaleta mrejesho
Mradi kaka ako awe bwana mapesa,wifiyo umpendae ni mchaga atiiii!
heshima yenu wakuu
mie toka nijiunge humu siyo mtu wa kufatilia life ya mtu wala sipend kujuana juana sana
ila huyu dada miss chagga mie namzimia mbayaa naomba kama hajaolewa anambie nna kaka yangu husband material angefaa sana kuwa wifi yangu nataka nimpeleke kigali!
af mjue ni nini kuna wadada wanajikuta wasafi sana kumbe machangudoa tu, hawana uzuri wala hawajiheshim hata kidg lkn kwa post zao aaaaaah ni malaika!siye kina umu maneno meng meng twaonekana vicheche hahahah
mimi nipo kama nilivyo na ukinchukulia poa me nakuona hamna tu, usimjudge mtu kwa anachokiandika humu
we ar here just kurefresh na kufanya siku iishe n siyo kila tunachokiandika humu ni realty
mpo apo??
Akija mwambie namtaka. Usisahau kunisifia sifia kidogo ili nimpate kiulaini. Nampenda sna umukagame wangu. mia
Maana kwenda ku-risk maisha Rwanda bure bure si mchezo.
mbona we wifi mbea kaka yako mbahili sana mi ndio maana simtaki bwana... i love u nyingi wallet yake hagusi... tokea nimwambie nampenda pia kaacha kabisa kunipa hatahela ya nauli