Nampenda mchumba wa mwanajeshi

Ngoja nimwambie Poti wangu alafu uone wewe si ndio uko zile ofisi za posta karibu na sanam la askari aanza kutembea na KY
 

Tembea na KY
 
Ntumie picha
 
Dah umemzalilisha sana mkeo muombe MUNGU akusaidie hilo pepo la ngono
 
Humu ndani Kuna watu Wana akili ndogo Sana,
Hata kutambua mema na mabaya imekua mtihani!
 
Ebhana ngoja mwenyewe ajue aisee nakuonea huruma yani jinsi utakavyo vunjwa vunjwa we mtu wa ajabu sana.
 
Tatizo hao hawaombi mafuta ya mgando bora utabakia anakulima risasi anamlima demu na yeye anajilima mkuu utatupunguzia nguvu kazi ya taifa
 
Yani we kunywa maji yakutosha kabisa ikibidi uhamie kwenye bomba la kupampu
 
wewe si una mke? Hivi ukigegedwa utamlaumu mtu kwa tabia yako ya ukware?
 
Haina shida nilishakujua jiandae kuonga na mche wa sabuni kwa kisoda cha maji au kujaza pipa la maji kwa kisoda
 
We kaka unachokitafuta utakipata. .. umuache mke sababu ya mistress? ? Asprin usijeniacha hubby wangu
 
Mjeda akijua atalipiza kwa mkeo uwe tayari kupigiwa huku unaona
 
anza tafuta pozi la kukaa ukiwa na jeraha la kisu kwenye makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…