Nampenda lakini sina maisha

Sahihi mkuu, Acha nipambane.. lakini kwa wakati huu nifanye Nini mkuu? Nimtafute nauli au nikomae nae tu?
Hiyo nauli ya kanda ya ziwa haipungui elfu sabini,huo ni mtaji kabisa,
 
Kweli Ni Jobless lakini ku fight na fight na yes sikosi mbili tatu, lakini kwa kumuweka ndani mzee ntachemka kabisa... Ahsante kwa ushauri pia
Mambo kama haya huwa hayahitaji ushauri wamtu mwingine fanya unachoamini miaka uliyonayo bado unaogopa jambo dogo hivi naamini utakachoamua ww ndio kitakuwa sahihi
 
Nimekuelewa mkuu, Ahsante kwa Ushauri
 
Huyo ukimuacha aende peke yake kijijini yatakukuta yaliyomkuta kagwa, kule kuna watu wanakula ugali kilo tano na maziwa debe moja kila siku watamshona atakusahau[emoji16]

Ushauri wangu kama unampenda wew fanya mpango tafuta pesa uende nae huko kijijin kwao(kanda ya ziwa) kule kuna mishe nyingi, kama uvuvi,ubebaji mizigo nk.

Unaweza ukanunua hata kaplot kadogo ukakafanya kama bustan and who knows? Baadae unaweza ukapata mtaj mkubwa na ukafanya makubwa zaidi ukiwa na huyo demu wako.
 
Huyo ndio nyota wa mchezo mtafutie kibarua hata kiwandani,Atakusaidia kukupa changamoto ya kupambana.
 
Mkuu ukifikia maamuz ya kumrudisha kwao nichek, aje moshi kuendelea na ajira yake, nina uhitaji na dada wa nyumbanii
 
Mshirikishe Mungu kwanza,karibu tuishi sio nzur kimaadili, lazim ufate taratib km vile kwenda kwa wazaz ili wakukabidh,ukiamua kumchukua bila ruhusa ya wazazi wake, je km ana matatizo huyo bint, je? yakutokea hakuna atakayekuelewa hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafutie kazi za ndani sehemu nyingine uendelee kumega kisela huku ukifanya mipango
 
Kuhusu vitu vya ndani tayari ninavyo, Kitanda, Godoro, Sofa na vingine vidogo vidogo, Ishu Ni kwamba tu Sina mchongo wa uhakika wa kunifanya Ni survive na mtoto wa mtu
Siatakula chakula Cha kwenu huku ukipambania upate kaz,shida Nini?unacomplicate maisha mwnyw,mi sikushaur aondoke,ww mtaftie hata lak mbili afanye biashara ndogo ndogo ziwasaidie ukiwa unatafta kaz
 
kama kweli umeamua kujilipua jilipue tuu, ww una had pa kulala kuna wanafamilia walianza kwa kulala kwny baraza hawana pa kulala lkn wapambana mpka kikaeleweka.

muhimu n kuamua kwa dhati, hakuna kinachoshndkana.
​
 
Nikushauri tu,, hao viumbe ni watu wa hovyo sana... Kama unamchukua ili akupe challenge au akutoe kwenye comfort zone basi utakuwa sahihi,, maana yake lazima akili ikukae sawa..

Ila kama ndio unawaza ndoa,, kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…