maisha ya dar ni kupata tu pakumlaza basi kuhusu chakula hata ukiwa na buku mbilk siku inaisha
Ww mchukue ukae nae, Alf utaona akil itakavyochanganua nn cha kufnyaje, mbn utaona mishe nyng tu ktaanWakuu Habari za muda huu, Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii inanihusu Mimi mwenyewe na hapa Nawaza na kuwazua na sipati jibu sahihi, Nachanganyikiwa.
Mimi Ni kijana mwenye miaka 26, Elimu yangu Ni kidato Cha Sita na pia nilisoma Certificate in Clearing and Forwarding, Naishi Dar kwa Wazazi Ila nakaa chumba Cha nje Cha Peke angu,
Kwa muda Sasa nilikua nikitamani kuwa na familia, Yani mke na mtoto, ukizingatia rafiki zangu karibu wengi Wana maisha Yao na familia zao, niliwahi kuajiriwa lakini kwa Sasa Sina Kazi ya uhakika nadandia tu mishe yeyote itakayokuja mbele yangu.
Sasa Kuna huyu binti, mtoto wa Kanda ya ziwa, mzuri, binti mdogo miaka 20(Asomi) alikua akifanya Kazi za usaidizi za ndani, Muuni nikamuelewa nikaanzisha mahusiano nae, baada ya miezi kadhaa mwajiri wake akayumba Kiuchumi na kumuachisha Kazi,
Binti Hana ndugu mjini, kwao Ni mbali na maisha ya kwao pia wanamuangalia yeye ndio mwokozi wao, Kimsingi binti ananipenda na Mimi pia Nampenda na ndio msichana ninaetamani kuishi nae na kutengeneza familia.
Tatizo linakuja hapa, Mimi Jobless, kula kwa kengele japo sio kila siku kwasababu nikiwa na mishe zangu napenda kujitegemea kuliko kusumbua home, huyu mtoto wa watu nataka kumsaidia, nataka asiwe mbali na Mimi kusudi Mambo yangu yaki tiki niishi nae,
Kwa Sasa nimemuombea hifadhi kwa Dada yangu japo ya siku kadhaa na tayari Nina siku tano tu mbele za kujua hatma yake.
Nawaza nifanye Nini?? Nimtafutie nauli arudi kwao?? Nikae nae kibishi, atakula Nini? Ana mahitaji mtoto wa kike na Mimi Ni hohe have?? Naomba ushauri wakuu.
Natanguliza Shukrani.
wanaume wengi wa dar huwa wanakosa sababu ya kupata maendeleo kwa kukosa wa kuwapush,Ataitoa wapi sasa ikiwa ye mwenyewe ni jobless
Wazi kabisa mkuuwanaume wengi wa dar huwa wanakosa sababu ya kupata maendeleo kwa kukosa wa kuwapush,
akikaa siku 2 na mtoto wa watu ndani atapata tu akili ya kwenda kutafuta.
sinza kuna watu wanaishi chumba na seble mpka 500k kwa mwezi na hawana kazi maalum lakin wanapambana na kusurvive tena kwa issue za halali kabisa
maisha ni kutoka na kujichanganya ukijifungia ndani na yenyewe yanakufunga
Shukrani Mkuu, Lakini kabla ya uwepo wake kaka nimesambaza San CV mpaka nazikuta kwenye vifungashio vya vitumbua,Ww mchukue ukae nae, Alf utaona akil itakavyochanganua nn cha kufnyaje, mbn utaona mishe nyng tu ktaan
Kila la kheri
Brother, upo sahihi binafsi nakosa wa kuni push nipate hata temporary mishe wakati najiweka sawa.wanaume wengi wa dar huwa wanakosa sababu ya kupata maendeleo kwa kukosa wa kuwapush,
akikaa siku 2 na mtoto wa watu ndani atapata tu akili ya kwenda kutafuta.
sinza kuna watu wanaishi chumba na seble mpka 500k kwa mwezi na hawana kazi maalum lakin wanapambana na kusurvive tena kwa issue za halali kabisa
maisha ni kutoka na kujichanganya ukijifungia ndani na yenyewe yanakufunga
Wengne wanakuwa km baraka ila kmbka wengne km laana kwhyo kaz kwako mkuuShukrani Mkuu, Lakini kabla ya uwepo wake kaka nimesambaza San CV mpaka nazikuta kwenye vifungashio vya vitumbua,
Ingekua kijijini ningetumia Mafunzo ya JKT kuanzisha kilimo Cha mboga mboga