Nampenda lakini naelekea kuchoka.....


Nimegundua kwenye mapenzi ukishafanya usaliti ni ngumu sana kuaminiana. Hapo hata iweje hamtakaa mkawa na furaha kama ili ya kabla ya kusalitiana. Usipoteze muda anza upyaaaaaaaa sehemu nyingine, umeshajifunza na hutarudia makosa.
 
pole, kwa sababu
hayo ndo matunda ya kumcheat umpendaye unapoteza uaminifu hata kama
utasamehewa mambo hayatakua kama zamani, ndo maana kuna msemo wa
NIMEKUSAMEHE LAKINI SITASAHAU.

Naunga mkono hoja,hiyo hitilafu umeisababisha ww,na ww ndo unajua uindoshe vipi kwa kuongeza upendo na uaminifu kwk,km ww ulivo cheat na ht yy hakika yp mbioni kukulipiza kisasi km bado soon.
 
Mwambie na yeye akucheat, then umkamate af na wewe umsamehe maisha yataendelea vizuri
 
Asanteni sana ndugu zangu kwa ushauri ! Nitafanyia kazi ushauri wenu ili kuweza kumaliza tatizo. Mungu awabariki sana.
 

Exactly.matatizo mengine huwa tunajitakia wenyewe why would a boyfriend/girlfriend akusababishie high blood pressure at this early age! Quit na move on na maisha
 
by jingle:
Nahisi kuumia kwa mara ya pili!baada ya kusoma mkasa wa hawa wapendwa!mm pia ni mmoja wa waathilika wa mikasa hii!ninamchumba ambaye yuko ktk chuo cha u2nzaji wa kumbukumbu hapa nchini,nampenda sana,nae pia alikuwa akinisisitiza nisije nikamuacha na niwe mvumilivu kwa kipindi kigumu awapo chuoni!2likubaliana kuwa wakweli na waaminifu!kila wakati wa likizo hakusita kufika kwe2 na mama yangu anampenda kupita kiasi!ni msichana wa kawaida aliye jaliwa sura ya upole!tatizo-amebadilika kiasi kwamba nahic kuchanganywikiwa!hapigi sim wala ku2ma msg!tofauti na zaman!hajibu msg na wala hapokei sim!akipokea simu ana2mia kugha ziczo nzuri,mfano unasemaje!nimepiga nikupe hi!maana ni muda uko kimya!then anaongea kwa dharau anakata sim!nikimweleza mama hanielewi hata kidogo!anaigiza au iko vipi hiyo!make kuna movi inaitwa woman of principles!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…