aiseeee nakuvutia picha unamfungukia jamaa.....hujawahi kuwa na kigugumizi gafla kinakuja...
unaandika meseji mara unafuta,mara unaandika tena..
Ukiwa unapiga simu unaomba asipokee wakat umepiga mwenyewe....
Jipige kifua tu elezea hisia mwaya japo ni mtihani sana kama hunaga hayo.....
ICHANA darl...gongelea nondo
kumbe ndo maana ulianza ivo kwangu kipindi icho
eh semekiiiHuwa nawashangaa sana watu wengine. unatoa mada, watu wanajituma kukushauri thread iko page ya pili, huonekani kuja kucoment chochote wala kuappreciate comment za watu....na mara nyingi watu wa aina yenu huwa hamna uhalisia/uhusika wa yale mnayoyaleta jukwaani.