Nampenda lakini hatambui hisia zangu

Nampenda lakini hatambui hisia zangu

Mhmm hayo makitu ya kuanzaga kumfeel mwanaume ambaye hana hata dalili za kukupnda aisee em potezea ni kujitesa ty

kwa nini mnatuogopa wanaume? hatuko hivyo kama mnavyofikiria, ukimfeel mwanaume cha kwanza hakikisha unazo angalau sifa za kike I mean muhimu zaidi muonekano, simaanishi uwe mzuri sanaaa hapana, kwanza wanaume wengi hawapendi mademu wale wanaoitwa mademu wakali wa ukwe'he.

hii ni free world express ur self, kama siku hizi mna uthubutu wa kuwavulia chupi rika la baba zenu ndio unaogopa kudate na kijana mwenzako? tena mwanamke akimtongoza mwanaume huyo ndio waukweli kwa mtazamo wangu.
 
siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa Afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda

Kwa kuwa maadili yako yamejengwa katika misingi ya mila, basi endelea kusubiri protokali ya kimila izingatiwe
 
Huwa nawashangaa sana watu wengine. unatoa mada, watu wanajituma kukushauri thread iko page ya pili, huonekani kuja kucoment chochote wala kuappreciate comment za watu....na mara nyingi watu wa aina yenu huwa hamna uhalisia/uhusika wa yale mnayoyaleta jukwaani.
 
kwa nini mnatuogopa wanaume? hatuko hivyo kama mnavyofikiria, ukimfeel mwanaume cha kwanza hakikisha unazo angalau sifa za kike I mean muhimu zaidi muonekano, simaanishi uwe mzuri sanaaa hapana, kwanza wanaume wengi hawapendi mademu wale wanaoitwa mademu wakali wa ukwe'he.

hii ni free world express ur self, kama siku hizi mna uthubutu wa kuwavulia chupi rika la baba zenu ndio unaogopa kudate na kijana mwenzako? tena mwanamke akimtongoza mwanaume huyo ndio waukweli kwa mtazamo wangu.

Lol apo inategemea sana wanaume wengne ukiJipendekeza tu wanakuona malaya,,kwa mim milele sijui ka ntakuja mfungukia men yyte bora kufa na langu La moyo ni wachache wenye uelewa kama wa kwako wanadai raha ya mapenzi mwanaume apendeee
 
Ropoka..!!!! AZIMA JAMVI KABLA HAWAJAOMBA WENZAKO.
 
Tafuta kitu cha kukuweka nae Karibu...muombe akusaidie kitu.. jifanye simu yako inakusumbua settings..muombe akusaidie...
 
Achana nae,na km yeye hajawahi kukuonesha kukupenda jua huyo hakuhusu,hata ukifanikiwa kumwambia akarespond positive ila jua wazi hakukupenda yeye kwanza na hatokaa akupende,kwan kikawaida mwanaume huwa hajifunzii kupenda ndani ya mahusiano,
 
Yaani hata ningekuwa mimi kwa nick name unayotumia lazima utoswe! Utakuwa umekaa kichiriku chiriku!
 
Fungua darasa la kumuonyesha kwamba unamzimia mpaka somo lieleweke. Kwa lugha ya MUJINI wanasema jirengeshe kama 55% hivi akishaelewa somo atamalizia hizo 45% mwenyewe. Kila la heri



Kuna kijana mmoja nimetokea kumpenda sana, yani upendo wa kweli kutoka moyoni mwangu, lakini siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa Afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda nifanyeje aweze kuelewa hisia zangu.

Maana ni mwezi sasa nagumia maumivu sijui nifanye nini?
 
Last edited by a moderator:
Funguka dada maisha yenyewe yapo wapi kwanza vita kesho kutwa
 
aiseeee nakuvutia picha unamfungukia jamaa.....hujawahi kuwa na kigugumizi gafla kinakuja...
unaandika meseji mara unafuta,mara unaandika tena..
Ukiwa unapiga simu unaomba asipokee wakat umepiga mwenyewe....

Jipige kifua tu elezea hisia mwaya japo ni mtihani sana kama hunaga hayo.....
ICHANA darl...gongelea nondo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom