Nampenda lakini hatambui hisia zangu

Nampenda lakini hatambui hisia zangu

Chiriku

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
47
Reaction score
8
Kuna kijana mmoja nimetokea kumpenda sana, yani upendo wa kweli kutoka moyoni mwangu, lakini siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa Afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda nifanyeje aweze kuelewa hisia zangu.

Maana ni mwezi sasa nagumia maumivu sijui nifanye nini?
 
We funguka bana mila zilikuwa zamani saiv una xpress yourself we kufa na mila ndege apeperushwe na wajanja...sikiliza moyo mamii
 
Uwe unamtumia SMS Za Goodnite,ama unampigia simu hasa usiku anaweza kubadili hisia na kujua chochote.....
 
Ukweli na uwazi unahusika pia siyo kila mila uifuate. Mweleze unavyojisikia
 
Hebu funguka mdada kwanini ufe na tai shingoni?Hayo ni mambo ya kizamani siku hizi na sie tunatongoza
 
kuna kijana mmoja nimetokea kumpenda sana,, yani upendo wa kweli kutoka moyoni mwangu,, lakini siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda nifanyeje aweze kuelewa hisia zangu,,, maana ni mwezi sasa nagumia maumivu,, sijui nifanye nini? wapendwa nisaidie naumia,

we dunia ya sasa hakuna kusubiri uambiwe kama unaona yuko cngo mwambie
 
Una miaka mingapi?
Hyo ni tamaa ya kubarehe tu, ukikutana na kiguu cha kichanga mbona utatulizana tu
 
Ukienda kichwa kichwa jamaa atagegeda halafu anachapa lapa.
 
Kuna kijana mmoja nimetokea kumpenda sana, yani upendo wa kweli kutoka moyoni mwangu, lakini siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa Afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda nifanyeje aweze kuelewa hisia zangu.

Maana ni mwezi sasa nagumia maumivu sijui nifanye nini?

We wa wapi???? Utendawaz sasa ni wakaz gani Funguka au uumie kimya kimya kimya
 
Kwa jina lako lilivyo nashindwa kuamini umeshindwa kumuambia hisia zako kwake!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Mhmm hayo makitu ya kuanzaga kumfeel mwanaume ambaye hana hata dalili za kukupnda aisee em potezea ni kujitesa ty
 
Back
Top Bottom