Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
- Thread starter
-
- #101
Ahsante mpenzi..i have healed,nipo sawa kabisa namshukuru mungu alhamdulillah!So am I. Yaani kama ni mimi vile. Pole my dear mimi49 huko tumepitia wengi hasa sie wadada, wanaume hawa hawana maana kabisa ndugu.
kama mlishaachana as u said ni vema i hope uko vzr now na ur wound ipo healed tayari. mungu atakusaidia kumlea mwanao.
Pole for what happened to you.
ha ha ha ushaanza uchokozi!tutamtibuje mdudu huyu?Huyo mdudu tuliyenaye anaitwa 'athumani jicho moja' au 'abdallah kichwa wazi'....
Niko kwenye mahusiano ya
Takriban miaka minne na mwanaume ambae nimezaa nae mtoto
mmoja.Tulikutana ktk chat tukapendana..baada ya kuonana Nikabeba
ujauzito wake which is irresponsible i know coz tunaishi sehemu Tofauti.
Hanisaidii kwa huduma yoyote coz hana kazi thats fine Ila hata nikiwa
nae hanisaidii hata ktk malezi ya mtoto(tupo nje ya nchi),anasema
anataka kunioa na ananipenda lkn tatizo hanijali wala hajali feelings
zangu akinikera,haoneshi mapenzi na mimi na Sifeel kama ananipenda coz
hata nikiumwa hanijulii hali nampigia Simu mimi ananikemea Eti namuamsha
usingizini na kuumwa naumwa mimi!!yaani kuna vituko vingi sana
amenitendea huyu mwanaume siwezi kuvieleza vyote!!
sasa nimeamua kuachana nae Ila bado nampenda sana na namuwaza saa
zote!!mnadhani nimechukua uamuzi mzuri kuachana nae au nifuate moyo
wangu niendelee kuwa nae na niendelee kuumia?
Kweli kabisa mpendwa..vitu vidogo kama hivyo ndio vinamata sana lakini wanaume wengi hata hawavitilii manani...sijui kama kuna mwanamke asiyependa kujaliwa atakuwa hajazaliwa bado....Yaani ukiniambia nichague PESA au CARE i will guarantee you i will choose CARE....labda kwasababu mimi nipo very sensitive i dont know:A S 39:pole mimi49
kama kuna kitu baadhi ya wanaume wanakikosea kwa wapenzi wao ni hiki.
mwanamke anapenda na anatamani siku zote uonyeshe kumjali/kumpenda .. na mara nyingi vinavyohitajika ni vitu vidogo dogo sn ila wahusika hawajui.
wengi wanafikiri kumpatia m.ke fedha au zawadi kubwa ndio kuonyesha mapenzi la hasha.
ha ha ha ushaanza uchokozi!tutamtibuje mdudu huyu?
Kweli kabisa mpendwa..vitu vidogo kama hivyo ndio vinamata sana lakini wanaume wengi hata hawavitilii manani...sijui kama kuna mwanamke asiyependa kujaliwa atakuwa hajazaliwa bado....Yaani ukiniambia nichague PESA au CARE i will guarantee you i will choose CARE....labda kwasababu mimi nipo very sensitive i dont know:A S 39:
"Nadhani ukisoma ulichoquote utaelewa kwamba pesa haina thamani kwangu"kucare sio kupewa pesa bali kumjali mtu emotionally..kuwepo anapokuhitaji,kumthamini inahusika zaidi na hisia;kuzijali hisia za mwenzako!n.kkwan nyie wanawake tafsiri ya care ni nn
s kupewa mo hela tuu
Pole jamani mydia, unavyoandika ni kama nakuona machozi yanalengalenga kwa uchungu na hasira, sisi wanaume ni wabaya sana wakati mwingine. Mungu atusamehe
Pole mpenzi na wewe pia ulisema umepitia hali inayolingana na yangu.....yani we acha tu.....nilikuwa nalengwa na machozi for real........
roho yangu imeniuma sana......
wewe unamuongopea mwenzio ampige chini! mwenzio kasema kamuacha ila bado anampenda so hawajaachana, utaonekana mmbeya - mpe confidence mwenzako aendelee kumpenda mwenzake coz bado anampenda, pia, I thought ungemshauri azidi kumvumilia coz she had him for over 4 years, kwa nini amshindwe sasa? Mwambia nadhani huyo shemeji yetu hana kazi, so ukiwa too demanding kwa vitu vikubwa ambavyo ni zaidi ya uwezo wake ataona kama unamcheka/unamsanifu - hasa hayo mambo ya matibau kwake una maanisha bill na anatakiwa kulipa, awe anamwambia kuwa anaumwa ila "I have gone for medical check up and dr. kasema nitapona kama nitamaliza dose", keep praying for him apate kazi, and mind you sijasikia anasema huyo shemeji anam-cheat...mshauri avumilie please ni mambo ya uchumi tu hayo[/LEFT][/RIGHT][/LEFT]
ok nashukuru kama unaendelea vizuri dear ..u can always count on me even outside jf my dear!temana nae kabisaaa kama ni mtoto tutamlea hata kama ni kwa dagaa na mlendanipo poa mpenzi thnx for asking!
There's always other side of the story...pole though.