Nampenda lakini hanijali

mapenzi haya,inasikitisha kwa kweli.deep down unajua kabisa kama huyo mtu hana mapenzi na wewe.lakini bado tu umo na kuamini,ipo siku atabadilika.shosti,huyo sio mume wako,jipange maisha kivyako,pengine miaka yote hiyo na distance yenu,atakuwa ameshapata mtu.jaribu kukaa kimya na uanze maisha kivyako.utakuja kupata mtu ambae atakupenda.achana na huyo looser
 

Just try to have some few things on practise,kutokujua kama hawajali ni kosa kubwa ambalo wanaume wengi hulifanya bila kujua coz attending a females' needs is the great pillar in affair lakini pia jua kwamba men periodically bolt for cover under different circumstances at this time they become unapproachable,demanding to be left alone on their own and to be allowed not to express their feeling or whats happening.So just get him a space for a litle while an he'l spring back,dont give too much space coz it may indicate letting go
 
Huyu anajua umemfia, anajua hupindui kwake ndio maana nafanya haya. Hatua uliyochukua ya kumwacha inafaa.
 


Hakuna kupendana penye mapenzi ya upande mmoja. Kwa bahati mbaya sasa mahusiano mazuri yanakuja kwenye kupendana. Kwa maana hiyo hapo hakuna mahusiano mazuri, kwani daima wewe uwe mshiriki peke yako kwenye uhusiano wenu? Kupenda upende peke yako, kulea ulee peke yako, kwenye tabu na maradhi peke yako. Utaendelea mpaka lini na kubeba mzigo wa watu wawili peke yako? Achana nae na utafute mbia atakaetowa hisa sawa kwenye mahusiano!
 

Mpendwa pole sana kwa yote, mimi nakushauri kama ifutavyo; najua unakereka na tabia unazosema, upande wa pili labda nae angekuwepo angeweza kujitetea kutokana na kila unachosema. Siku zote siangalii upande mmoja, wanawake huwa tuna kero ambazo zinaweza kumfanya mwanaume akimbie majukumu yake au akae kimya kukupa wewe chance ya kurekebisha pale ulipokosea, kama huna Roho mtakatifu akakuongoza kujua makosa yako utaendelea kufanya yale yale yanamfanya asikujali.

Kuachana siyo suluhu, kwa sababu huko utakakokuwa unasubiri au kwenda siyo rahisi sana kama tunavyofikiri au kuchukulia mambo kijujuu. Una mtoto tayari, ebu mpe chance huyo mtoto kufurahia maisha na baba yake. Anza kuchunguza kasoro zako, rekebisha, ukimuomba Mungu ambadilishe mzazi mwenzako muishi salama.

Sikushauri kumwacha wakati roho yako inampenda. Huitendei haki nafsi yako.

All the best!
 
Tangu awali hakuwa na kazi..tulipoanza uhusiano alikuwa akijali kiasi ila akabadilika na muda ulivyokwenda..ndio kinachoniuma haswa ni kujua kwamba anajua kujali na nilikuwa nikifeel napendwa by then lakini si sasa tena na nahisi kadiri ninavyomwambia hajali ndio hajali zaidi yaani kama ananipuuzia na pia anajitafutia excuses nyingiii!!
 
Jiweke pembeni uepushe msongamano, yanini mateso? Upate pressure kisa mwanaume.... hebu uko mie...!!!!!!

 
Mimi49, hata hivyo nakupongeza umemvumilia sana, mimi nakushauri achana nae huyo, utakufa na kihoro cha mapenzi dear. Mimi asiponisms tu kuanzia asbh hadi jioni pressure inapanda leo niugue usiniulize mpenzi unaendeleaje? ndo naweza pelekwa wodini kabisa, huyo mimi simuwezi kabisa ningeshaepusha msongamano nadhani mwaka wa kwanza tu

 
hapo sidhani kama kuna mapenzi ndugu yangu, may be anafanya hivyo ili ujiondoe mwenyewe au:flypig: inawezekana anogopa kukuambia ukweli kwa mdomo wake. achana naye na uishi maisha yako ingawa ni ngumu ila just do it for ur happiness n ur child.
 
Basing on my xperience he wants u no more, anajaribu kukuacha kistaarabu coz hana reason, and u av neva been a bad couple, so anatafuta 7bu ili ujiondoe mwenyewe autmatical..just move on.
 
mhhhhhhhhh kasheshe hilo... bt its true hakupendi mayb jtahdi labda u`ll win his hat again dr:A S-heart-2:
 
Basing on my xperience he wants u no more, anajaribu kukuacha kistaarabu coz hana reason, and u av neva been a bad couple, so anatafuta 7bu ili ujiondoe mwenyewe autmatical..just move on.
Mbona nikijiondoa anakuja kunibembeleza weee kuwa ananipenda sasa mimi simuelewi!
 
hahaha I wanna know the progress of the matter
 
Smtym kumwacha mtu c solution jaribu kwanza kuongea nae nakumpa yale yanayotesa moyo wako na vilevile t depends ktk mahucano yenu b4 hujazaa mlikua mnaish vp
 
Mbona nikijiondoa anakuja kunibembeleza weee kuwa ananipenda sasa mimi simuelewi!

Basi jitahidi umuelewe kuwa ndivyo alivyoumbwa kwenye upande wa mapenzi hawezi kukujali ila anakupenda kuna watu wapo hivyo wanapenda ila hawana muda wa kumjali anayempenda so huyo ni mmoja wapo mchukulie kama alivyo
 
Wewe umenena vema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…