Nampenda kuliko mke wangu.

Nampenda kuliko mke wangu.

we jamaa labda utupe undani wa ishu yenyewe coz nashawishika kuamini kwamba 'mzigo' ushakula long time sasa kinachokuumiza ni guilty conscious na unataka some kind of reassurance humu

I might be wrong na nisamehe kwa hilo ila all in all kumshushia heshima mkeo kiasi hicho haikubaki mbele ya jamii leave alone kwa Muumba na kana unataka ushauri ni kwamba 'kimbia haraka achana na hayo nakitu, katubu umrudie Mungu wako na kama mkeo ana mapungufu yeyote, jaribu kukaa nae ongea nae as far as I believe ana nafasi ya kujirekebisha'. Kaka thamini mke na familia yako more than anything

ni hayo tu kwa leo
 
Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.

unawezaje kumpenda mwanamke mwingine kuliko mkeo?huna heshima wala adabu sio kwa mkeo tu bali hata kwa taasisi nzima ya ndoa!
 
Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.

Hayatuhusu.
 
Wewe hii ni akili yako au? Mkeo nae amekutana na yule waliokuwa wanacheza "Kombolela" aliyesoma nae Shule ya Msingi, tena jamaa anazo sio mchezo. Sasa unasemaje? tumpe ushauri nae aende? Tulizana na ndoa yako Kaka hayo siyo ya kutaka ushauri humu. Watakucheka??
 
Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.

mkuu apo ni wewe kutumia akili yako,hivi ukishauliwa umuache utafuata ushauri huu,ebu mfikirie mkeo mara mbili achana naye huyu mwanamke,na unasema unampenda kwa hiyo unataka umwache mkeo ? Je,kama ulikuwa unampenda kwa nini ukumtafta na kwanini umeoa huyo wa sasa.
 
Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.
endelea kumpenda tu.
 
Hata yeye anao ma Ex wake tena usijekuta wako vizuri kwa kila kitu sema tu aliamua kutulia na wewe jitafakari upya maana na yeye akiamua kufanya hivyo unaweza kutamani dunia iishe
 
Nimepokea ushauri nitaufanyia kazi ila wa jinsia ya ke ulikuwa harsh.
 
Back
Top Bottom