Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.

Mkule.......

Unatema bigijii kwa karanga za kuonjeshwa!
Wakati nasoma nilikuwa na mpenzi ambaye tulipendana sana baada ya kumaliza shule tulipoteana nilipata kazi na yeye aliendelea masomo na sasa tumekutana chuoni anadai bado ananipenda ingawaje tayar nina mke ispokuwa hata mimi nampenda sana nifanyeje.
Duh, cant believe kama hii comment imetoka kwa Preta...Mkule.......