Nampenda Jokate, nitamfukuzia mpaka ni mkamate

unaongea kama Joketi ni jiwe tu atakayelifikia analibeba tu!kama hatakupenda au kukubali kwa namna yoyote utambaka?heshimu uhuru wa wanawake ktk kuchagua na kukubali!

nawasikitikia wanawake ma-supastaa,wanaume wengi just want to fak their names!...and not them!

look who is talking? Kwan kutangaza nia ya kumtongaza msichana ajabu? Au unataka mwanamke ndo amtongoze mwanaume. Dont pretend to be gender sensitive cz their just theory which will never be reality madame gander.
 
Mh na hela mngekuwa mnazitafuta kwa bidii hivyo mbona ma Bill Gates wa bongo wangekuwa wengi, matokeo yake ni kuongeza tu wenye ngoma.
 
Alafu akikutosa utakuja andika humu jamani nimepigwa chini roho inauma nisaidieni. You deserve better Bro
 
mguu wa mtoto unao?...just to add up: are u a one minute man??..hela jokate alikwambia kwao hamna?mapedeshee wangapi wa masaki...ulizia pia kwa nn wema bado anampenda Diamond>>>hehehe kajipange upya :frusty:
 
Almasi kweli almasi anapiga kwa sequence and series bado magogoni tu.Mtoto balaa huyu Kifo chake mabinti watalia sana.Kwa majibaba yatafurahia kishenzi.
 
yani hunaonekana hujiamini ndio maana unatupima! tufuta wakwako mbadilishane virus
 
thanx, its normal for women, by the time I catch her,she will be proudy of me.

na ka English ka kutupia itabidi ujifunze. Sio proudly. Its proud. Its all in the cost of getting her.
By the way u sound pretty young and newly successful, so umeona thats the way kujulikana mjini.
 
kwa yule futibola,...urefu ule, usijeenda na kabamia kako pale, mwenzio alishazoea mandingo...sisi wengine hatutamsogelea kabisa yule dada ,kwasababu ameshatuzidi saizi gafla...tunakuachia endelea naye.
 
Back
Top Bottom