Habari wana JF, Nina mpenzi ambaye nampenda sana na tumeanza chini sana akiwa hana hata kitanda,leo hii ana kila kitu amenibadilikia na anasema anakwenda oa kwao coz kachaguliwa mke na wazazi wake.Nashindwa nifanyeje na ukizingatia vitu vyote vya ndani tumenunua wote,ushauri wenu wapendwa.