dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
choma moto nyumba mbaki na majivu tu ili aanze upya.Shenzy type
mambo ya joint venture yamesanuka,hivi unanunuaje vitu na mwanaume hata kwao hupajui?
Je ukifa ghafla .mimi viotu vyangu nimemuandika baba yangu na my late mother ,unanunua vitu na mwanaume kiwanja ,nyumba ukifa ghafla anafaidi huko ndugu zako hawapati chochote...wanawake sometimes sisi mbuzi sana
Amekuchoka na haweziHabari wana JF, Nina mpenzi ambaye nampenda sana na tumeanza chini sana akiwa hana hata kitanda,leo hii ana kila kitu amenibadilikia na anasema anakwenda oa kwao coz kachaguliwa mke na wazazi wake.Nashindwa nifanyeje na ukizingatia vitu vyote vya ndani tumenunua wote,ushauri wenu wapendwa.