Nampenda ila kumuambia naogopa.....

Nampenda ila kumuambia naogopa.....

Bado hujafikia kiwango cha kupenda bado unatamani ndo maana unaogopa maana upendo wa kweli haunaga kizuizi
 
Mkuu fanya hima umwambie haraka coz wanasema genye zikizidi sana hua zinaamia nyuma
 
Kumla hapana limenenepa sana.manyama kibao limtumbo hiloo ule mvuto wote umepotea.kweli acha waringe tuu sasa hivi hawa madem huwa wanakongoroka vibaya sana
Ila ndugu, tujitahidi tusidharau MTU kwa maumbile au jinsia. Hakika tunajisahau sana. Hakuna haja ya kumshushia hadhi yake kwa namna alivyo. Huyu ni mtoto wa wazazi Fulani, mama wa watoto Fulani, Dada yake na akina Fulani.

Tambua kuwa nawe una mama, Dada, shangazi na pengine watoto wa kike. Tusijisahau sana.
 
Mleta mada nipe namba ya huyo msichana ili nikusaidie kumchana mistari! 😀😀
 
Nafikiri hapa kinachokupa shida ni ikiwa hata kukubalia kwa sababu mbalimbali ikiwamo kuwa tayari kwenye mahusiano au kutokuwa tayari kuingia kwenye mahusiano.

Kumwambia hisia zako ni jambo muhimu sana. Lazima uwe jasiri. Jambo LA msingi, uwe tayari kiakili, unaweza kukutana na hali nilizozieleza hapo juu. Ukikataliwa, Kubali na ruhusu maisha yako yaendelee. Amino utakutana na mwingine na unaweza kujikuta una mahabs mazito zaidi.

Kama una nia ya dhati kabisa, tafuta njia nzuri ya kumueleza. Njia ya kwanza ningeshauri ukutane naye mwenyewe. Huna sababu ya kuwa na hofu kwani umeshajiandaa kisaikolojia.

Ukiona huwezi kukutana naye mwenyewe, basi tafuta rafiki yake wa karibu, akufikishie ujumbe. Pia, unaweza kumdodosa huyo rafiki ili kujua hali yake ya mahusiano, hii itakusaidia.

Kila LA kheri ndugu.
 
Aiseee kweli shida sana, haya macho tu wenyewe wanakwambia ukiwatazama mkagongana machoni kule nanliu kunaloa!
 
Ndugu wanajamii forum kwanza nawasalimu wote popote mlipo... Huku imani yangu ikiambia hamjambo.
Basi kwa pamoja wanawake kwa wanaume members wa jamiiforum naomba munisaidie njia za kumpata msichana nimpendae. Naamin wadada ndio mtanipa njia mzuri zaidi. Je! Huyo mchumba ulienae au mchepuko ulionao au mume ulienae alitumia njia gani kukushawishi mpaka ukamkubali hadi kufikia hapo mlipofikia??????
Brothers nanyi nisaidie boy mwenzetu njia mzur ya kutumia ili nimpate bint ambae imetokea kumpenda ila nahisi nikimuambia hatanikubali.. Nitumie njia zipi ili nimshawishi anikubali?????

Msaada wenu tafadhali........
Urafiki kwanza then mechi
 
Kuna bidada mmoja hapa jirani yangu toka zamani nampendaa balaa lakini kumuanza ikawa shida.kila nikikutana nae tunaangaliana muda mrefu nikajua tu huyu dada anatamani asikie chochote kutoka kwangu!lakini ajabu nikakaa kimya hata salam hakunaga.baadae jamaa limoja likamuwahi likamzalisha watoto wawili.karibuni hapa ndo tukaanza kusalimiana na kuzoeana!ndo nikamtania nilikuwa nakupendaga weee!akanijibu yaani kipindi kile nikikuona tu nilikuwa naloa.yaani hata ungenishika mkono bila kusema chochote ungenikula
Kudadeki!!!! Kwann wanawake hawajapewa ujasiri wa kumwambia mwanaume kuwa nakupenda???
 
Back
Top Bottom