mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
Ndugu wanajamii forum kwanza nawasalimu wote popote mlipo... Huku imani yangu ikiambia hamjambo.
Basi kwa pamoja wanawake kwa wanaume members wa jamiiforum naomba munisaidie njia za kumpata msichana nimpendae. Naamin wadada ndio mtanipa njia mzuri zaidi. Je! Huyo mchumba ulienae au mchepuko ulionao au mume ulienae alitumia njia gani kukushawishi mpaka ukamkubali hadi kufikia hapo mlipofikia??????
Brothers nanyi nisaidie boy mwenzetu njia mzur ya kutumia ili nimpate bint ambae imetokea kumpenda ila nahisi nikimuambia hatanikubali.. Nitumie njia zipi ili nimshawishi anikubali?????
Msaada wenu tafadhali........