Nampenda, ila ananizungusha sana!

Vizuri upo kwenye umri sahihi wa kubadili mindset yako
Anza kujifunza zaid somo linaitwa masculinity anza na vitabu hivi tafuta PDF
1

2

3

Ingia YouTube search mwamba anaitwa Farfromweak anza na video za zaman

Uo ulokole wako utakupoteza vibaya mnooo kwenye maisha umekua mwanaume dhaifu sana kwanzia kichwani mpaka mwili

Be ruthless be dangerous mwanamke anagongwa na wanaume wakatili sio wakushinda kanisani (beta male ) change and be an Alpha male
 
kwanza ifahamike mimi sio mlokole kama unavyo dai! Lakini ni hivi,huyo binti kila siku za jumapili hupita kazini kwangu na bila kumshinikiza,huniomba hela ya sadaka.
 
Wanawake wengi ni watu wanao penda material things pia ni kiumbe dhaifu na chenye tamaa.

Wanawake pia ni emotional being pia kumbuka sanaa ya kutongoza Ina skills mbali mbali usiache kujielimisha..

Usiwe SIMP kuwa alfa male ndio uanaume MWANAUME WA kwelii hawezi Lilia mbususu/ papuchiii

NB. Kama wewe ni mwanachuo/ huna kipato/ mwanafunzi wa secondary e.t.c ila sisi wenye 38's hatubabaishwii maana nothing new
 
Kinachowabeba watu humu ni kutokujuana hata Kwa sura ndo maana mtu anapata nguvu ya kuja kuandika vitu kama ivi , ๐Ÿ˜ณ
Kuna sehem umeandika ni kabint ka elf mbili akat na yeye Yuko na 25 years ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tafuta shamba ulime mkuu. Msimu ndo huu
 
Kinachowabeba watu humu ni kutokujuana hata Kwa sura ndo maana mtu anapata nguvu ya kuja kuandika vitu kama ivi , ๐Ÿ˜ณ
Kuna sehem umeandika ni kabint ka elf mbili akat na yeye Yuko na 25 years ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mbona wengine tunajuana natuna andika tu ,๐Ÿ˜…
 
Kinachowabeba watu humu ni kutokujuana hata Kwa sura ndo maana mtu anapata nguvu ya kuja kuandika vitu kama ivi ,
Kuna sehem umeandika ni kabint ka elf mbili akat na yeye Yuko na 25 years
unaweza ukawa unashauri kabisa kwamba fanya hivi fanya hivi ili ukipate kipochi manyoya cha binti huyo kumbe anayezungumziwa ni binti yako na anayemzungumzia ni mzee jirani yako. Jf imesaidia wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ