Tia hela ....siyo unyongeWakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana,nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa,hana simu,yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae, siku za mwanzo alikuwa vema tu tunaonana,namkiss na nampa hela ya sadaka,lakini now anasema anabanwa sana na kazi,hawezi kuja,kuna siku nimekutana nae mahala tukaongea akaniambia siku fulani anakuja kwa ajili ya ku do, nikamwambia mbona unakuwa hautimizi ahadi zako au hunipendi? Akasema nakupenda na siku hiyo nakuja,hakutokea na mpaka sasa sijaonana nae. Nifanyaje? Nampenda
Kawaambie wazazi wakenishamwambia adhma yangu!
Fuata taratibu kawaone wazazi wake , kumpenda mtu Sio jambo la kuishia kugegedana tu huko vichakaninishamwambia adhma yangu!
Walokole utawaweza basiKwahiyo umesema unamuhonga hela kisha na yeye hiyo hela anaenda kuitoa sadaka Kanisani sio?
Si kwa ubaya ila naomba nikuulizeWakuu kuna binti mtoto wa alfu mbili nimemuelewa sana, nimempenda na nimemwambia mara kadhaa adhma yangu ya kumuoa, hana simu, yeye huwa namsubiria akija kanisani ndipo nionane nae
Siku za mwanzo alikuwa vema tu tunaonana, namkiss na nampa hela ya sadaka, lakini now anasema anabanwa sana na kazi, hawezi kuja.
Kuna siku nimekutana nae mahala tukaongea akaniambia siku fulani anakuja kwa ajili ya ku do, nikamwambia mbona unakuwa hautimizi ahadi zako au hunipendi? Akasema nakupenda na siku hiyo nakuja, hakutokea na mpaka sasa sijaonana nae.
Nifanyaje? Nampenda
Yani anamsubiri Mwanamke Kanisani ili amtongoze na kupanga mipango yao ya kufanya zinaa!Walokole utawaweza basi
Kama unalijua hilo kwanini unataka kuzini nae kabla ya ndoa?mwanamke mwema hupatikana kanisani mkuu! Unataka nimpate klabuni?
Vaa suti nzuri ,Kaa smart , nenda kanisani , halafu kama unakaujuzi kakupiga kinanda usijivunge pigaYani anamsubiri Mwanamke Kanisani ili amtongoze na kupanga mipango yao ya kufanya zinaa!
Yani Kanisani ndio amepaona kua ndio meeting point ya kutongoza!