Nampenda Ila ananipiga

Habari za asubuhi wakuu.

Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi.

" Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,nifanyeje?"View attachment 1104345
Hizi mambo nimezoea kuzisoma FB... 99% zikiwa hazina uhalisia wala ukweli wowote na mara nyingi zikitumika za watu wengine kwenye matukio mengine
 
Habari za asubuhi wakuu.

Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi.

" Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,nifanyeje?"View attachment 1104345
Hahahahaaaa km huyo aliyepigwa kipigo km cha mwizi ndo shem duuuh hongera zake, manake hayo mapenzi yamezidi offside, kipigo km cha mbwa mwizi au paka shume hahaaahaaaaa
 
Ajabu ni moja tu. Watu naopiga wenzi wao halafu wenzao wanavumilia, siku huyo mpigaji atakapopigwa yeye kisawasawa ndio mwisho wa huo uhusiano. Kuna Bwana mmoja alikuwa na tabia hiyo ya kumpiga mkewe, akiitwa kwenye mahojiano yeye kudai amepitiwa na shetani. Ikiwa ni hivyo hivyo amepitiwa na shetani. Mama akaona ujinga siku hamna ugomvi wala nini jamaa amelala mama kaenda kachukua mchi wa kutwangia kaushusha vizuri mguuni kwa jamaa, mguu ukavunjika, mama kuulizwa vipi akamwambia yule shetani wako kanipitia mimi leo, jamaa kagoma anataka ndoa ivunjwe
 
Duh! Atakuua huyu muendekeze tu. Mapenzi gani hayo ya kumuumiza kiasi hicho unayedai unampenda.

Habari za asubuhi wakuu.

Hi imenisikitisha Sana. Nisiongee mengi.

" Mchumba wangu ananipiga mara kwa mara,Lakini bado nampenda,Na tuko mbioni kufunga ndoa,nifanyeje?"View attachment 1104345
 
[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…