Nampenda Ila ananipiga

Kikubwa hakikisha unakua na first aid yako nyumban yenye kila kitu..dawa za vidonda, sprit,dawa za kupunguza maumivu n.k

Usimwache mchumba wako[emoji41]
Hapana mkuu umekosea sana
Huyu anaonekana ana mdomo sana
Na tiba yake mme kila anapoingia nyumbani anaweka maji mdomoni bila kuyameza ili asiongee kitu
 
Apo umetengenezwa ujapgwa we lilia ndoa uolewe uone kipgo kitakuwaje....pole dada mwenye upendo
 
Vijana siku mnasomana tabia kabla ya kuoana. Kwa hiyo wewe umemsoma ukajua huyu ni mpigaji ngumi kwa mwenza. ? Olewa naye kama umekosa wengine ila maisha yako yote utapigwa zaidi ya hapo. Ulishasikia wanaume wanaopiga wake zao hadi wanavuta sehemu zao za siri kwa plaizi? Wapo. Na huko ndiko unakoeenda kuolewa . ingekuwa mwanangu hata mahari sipokei. Uzuzu ni huo halafu utamlaumu Muumba eti huna bahati na ndoa
Au huna uwezo wakusimama kwa maisha peke yako? Nenda kateseke. Wala haikuwa na haja kusema uzobe wako binti.
 
Mwanamke mwenye gubu ni hatari sana...anaweza kumfanya mwanaume akawa mtu ambae hata hakutarajia kuwa
Wengine wana maneno machafu sana kiasi unajiuliza huyu ni binadamu au jini
Unakuta mwanamke anamtukana mme wake nje ya nyumba na kujaza watu
Yeye akiona ni sifa kujaza watu huku akishangiliwa
 
Danga lina hela shoga bora kulia kwenye vogue
 
Danga lina hela shoga bora kulia kwenye vogue
Yaani ningekuwa akili yako imejaa tope hivi singepoteza muda wangu kukujibu

Haya kadange kitakachokukuta utasema ni ajali kazini.😏😏
 
Hahhhahhhahhaa (the last sentence had me[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38])
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…