nampenda H.MDEE jamani !


halima amesoma na anaumri wa kutosha kaona na kajifunza mambo mengi pesa hainunui kila kitu.mafahari wawili.....
 
Last edited by a moderator:
Simama kwenye junction ya moroco karib na US embassy. Wekend..
 
Hata mimi nimesoma na nina umri wa kutosha na kweli nimeona mengi na kwa sababu nimeona mengi sitakubali mwanaume asiye na pesa ahusiane na mimi nomba na Mungu anipitishie mbali.
 
Hata mimi nimesoma na nina umri wa kutosha na kweli nimeona mengi na kwa sababu nimeona mengi sitakubali mwanaume asiye na pesa ahusiane na mimi nomba na Mungu anipitishie mbali.

mwanaume mwenye pesa hazaliwi anatengenezwa cynthia chriss.karne hii unafikiri mwanaume unayemtaka utampata tafuta alafu mjenge unavyo taka.la sivyo utapata wa kupritend anapesa mwisho wa siku kumbe za baba.shauri yako.kama halima ni shosti wako nikimpata atakwambia kwangu han'goki.
 
Kaka uko kwenye wet dream?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kwa hiyo hakuna wanaume wenye pesa ambao hawajaowa?haya bana me nakutakia kila la kheri wishes zako ziwe horses
 
Pamoja na haki uliyonayo ya kupenda jipime uwezo wako wa kifedha na elimu, hivyo ndio vikubwa.
 
ninauhaakika kabisa taarifa atakuwa kesha pata, alafu msimsemee mheshimiwa mdee kwani mume anayemtaka anamjua yeye hivyo kupiga kwake magold hakumaanishi kuwa anatafuta mtu mwenye pesa nyingi,,,mwache jamaa amuoe tuu.
 
Wewe jinsia yako ni gani? Kama ya Esther Bulaya?
 
Kuwa na adabu, huyu ni shemeji yako wa siku nyingi..!
 

Huko peke yako......tuko wengi🙂
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…