P psy Member Joined Oct 13, 2013 Posts 40 Reaction score 4 Feb 13, 2014 Thread starter #21 fimboyaasali said: Huyu alikuwa mke wa Yahya Mohamed mtangazaji wa Star ambaye sasa yuko Azam TV,amezaa nae watoto 2 lakini waliachana kwa tabia zake za kutojiheshimu Click to expand... dah,,kumbe braza yahaya alikua anapumzika pale dah..respect zake
fimboyaasali said: Huyu alikuwa mke wa Yahya Mohamed mtangazaji wa Star ambaye sasa yuko Azam TV,amezaa nae watoto 2 lakini waliachana kwa tabia zake za kutojiheshimu Click to expand... dah,,kumbe braza yahaya alikua anapumzika pale dah..respect zake
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 13,807 Reaction score 33,625 Feb 13, 2014 #22 Kaa mbali na Mke wangu.
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,556 Reaction score 109,088 Feb 13, 2014 #23 Heaven on Earth said: hahaa Matola bana....., si hadi awe active member ndo ataiona hiyo Click to expand... unadhani kuna Member wasiokuwa active? ni kwamba either huwa wanasoma tu na kuondoka kimyakimya au wanaingia kwa Id mbadala
Heaven on Earth said: hahaa Matola bana....., si hadi awe active member ndo ataiona hiyo Click to expand... unadhani kuna Member wasiokuwa active? ni kwamba either huwa wanasoma tu na kuondoka kimyakimya au wanaingia kwa Id mbadala
Juma WALEO JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 204 Reaction score 40 Feb 14, 2014 #24 inasemekana kwa sasa anatoka na mtu flani mkubwa pale sahara media so tafuta tu kafatuma shemweta ka hapo kitaani kwenu
inasemekana kwa sasa anatoka na mtu flani mkubwa pale sahara media so tafuta tu kafatuma shemweta ka hapo kitaani kwenu
appoh JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 5,908 Reaction score 3,216 Feb 14, 2014 #26 ana mdogo wake anaitwa husna ni hatari fatma hagusi hata kidogo ni majirani zangu kama nyumba mbili kutoka kwangu
ana mdogo wake anaitwa husna ni hatari fatma hagusi hata kidogo ni majirani zangu kama nyumba mbili kutoka kwangu
L La Princesa JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 1,056 Reaction score 1,189 Feb 14, 2014 #27 psy said: Asante mkuu...wanikatisha tamaa lakin Click to expand... Fatma alihamishiwa Arusha,asili yake n Tanga!!kila la kheri
psy said: Asante mkuu...wanikatisha tamaa lakin Click to expand... Fatma alihamishiwa Arusha,asili yake n Tanga!!kila la kheri