Nampenda FaizaFoxy

Ndiyo Fox gani hilo! Mi naogopa ma Fox.!
 
Haa ndo majibu yako...

Elia said:
Unataka kuniambia kumpenda mtu mpaka mcheze nae kombolela Sikiliza wimbo huu "I knew i loved u before i met u" wa Savage Garden... labda utakufungua kdg

Na hiyo ni mara bada ya mimi kukuliza hivi...

Jmushi1 said:
Umevutiwa naye kimapenzi ama kihoja?

Hivi utampenda vipi mtu usiyemjuwa?
Jiulize maswali tena labda utaona wapi umeshindwa kuelewa.

Hint on Key Words: Mapenzi/Hoja
 
Hii JF kweli ina watu wa ajabu keleta thread kama hii. Watu wanakuwa kama watoto kuleta hoja kama hizi. Nampigia saluti FF kwa composure, uvumilivu anao uonesha humu katika kuelemisha watu wanao mdhihaki bila sababu ya maana ila kushindwa hoja. Quality, matured and details ya hoja ambazo FF anaweka humu hakuna mtu anaweza ku zimatch! huu ni ukweli.

Wapi moderators? hii forum isitumiwe kumshambulia au kumdhihaki mtu nafsi yake.

FF keep good work going. Wengi tunafaidika na hoja zako hata kama hatukubaliani nazo zote.
 

kwani ile ndiyo picha yake halisi? kama ni halisi then huja kosea!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…