Nampenda FaizaFoxy


Jamani FF ni dume, tena dume la mbegu!!! Anajifanya tu kama mwanamke!! Shauri yenu!!!
 
Jamani FF ni dume, tena dume la mbegu!!! Anajifanya tu kama mwanamke!! Shauri yenu!!!

Haijalishi mi nimeona avatar, na michango yake inaendana... na ninavyo mfikiria .. No way!
 
Kama ni 'Me utaendelea kumpenda? Basi ni yeye ni he.
 
angeingia FF mwnyewe hpa akajibu hii hoja ingekuwa la maana sana...tehetehe..!!

Mi ujumbe nimefikisha, kupenda sio lazima upendwe pia cha muhimu nime-express cha moyoni mwangu
 
Jamani Lizzy mimi nakupenda wewe..!Namimi navunja ukimya.
 
Jamani Lizzy mimi nakupenda wewe..!Namimi navunja ukimya.

Vunja ukimya kaka, hata ukitoswa usha expressss.. Ila hapo wach out Rev is looking at you
 
faizafoxy anaweza kuwa ni jini
Aaaaaaaah, Tafadhali Bw. huyu bibie kama ni m/ke kweli hata mimi nampenda.Napenda kusoma maoni yake ya kipuuzi, aliyoyapata kutoka kwa wapuuzi wenzake.Ila nilimpa ushauri wa bure kuwa abadilike kwa kusoma walau mawazo ya WANASOMIAMBAO HAWAJAFUNIKWA NA UKOKO WA UDINI, maana yeye kila kitu kwake ni udiniudini udini. Nikisema umenikanyaga. Yeye ataangalia nani huyo ni dini yake au no, vinginevyo utasikia sisi tunaonewa, ukimuuliza kivipi hana majibu. Na siku hizi wana neno lao wanasema sijui Mfumo gani ule? eti ndio unatawala.WAnadhalilisha watu kweli, wanawafanya walio madarakani ni maboya.Sijui dhambi hii wataitubia wapi?hata hivyo napenda upupu wake. BIG UP F.FOXY enjoy the day, if you can
 

Your opinion on her, but i don't care. kikubwa ni kwamba nam-feel thats all..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…