Nkungulume
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,988
- 1,208
Akifika unitag nisikie jibu atakalompa...*Everiny kuna ujumbe wako huku..
Huyo mbabu anayepiga gitaa kwenye avatar yako ujue ni mimiAkifika unitag nisikie jibu atakalompa...
Wewe si ulikua umesem unaenda kulala auEvelyn Salt ukuje huku dr shika limoyo limemdondokea
Alaa kumbe? Na huyo bibie unayempigia hilo gitaa ni nani?Huyo mbabu anayepiga gitaa kwenye avatar yako ujue ni mimi
Mimi mwenyewe simjui, ila tulikutana kwenye kampeni za TANU huko Ujiji.Alaa kumbe? Na huyo bibie unayempigia hilo gitaa ni nani?
Ohooo! Kweli hiyo fani ya kughiribu uliianza kitambo...tangu enzi za TANU tena Ujiji?Mimi mwenyewe simjui, ila tulikutana kwenye kampeni za TANU huko Ujiji.
Hahaha kwa lafudhi aliyokua akiongea na alivyokua akiguna atakua MzaireOhooo! Kweli hiyo fani ya kughiribu uliianza kitambo...tangu enzi za TANU tena Ujiji?
Huyo bibie ni mtusi au mbemba?
Bila shaka ni mnyamlenge, ulikuwa unamwimbia wimbo gani?Hahaha kwa lafudhi aliyokua akiongea na alivyokua akiguna atakua Mzaire
Hahaha wimbo niliokua namwimbia ulikua na mahadhi ya twist, ulikua unaitwa NgakukundaBila shaka ni mnyamlenge, ulikuwa unamwimbia wimbo gani?
Ni vyema huo wimbo ungemfundisha mleta uzi ili bibie Eve atakapoibukia hapa amwimbie ili kumshawishi kirahisi...Hahaha wimbo niliokua namwimbia ulikua na mahadhi ya twist, ulikua unaitwa Ngakukunda