Nampenda Changudoa

Mkuu kwanini ucheze biko wakati madem wazuri kibao wamejaa hiyo ladha ya kahaba ndo inakuzuzua
 
Mkuu usirogwe kumuoa, kunguru atabaki kuwa kunguru tuu
W as sikushaur na ukawaelewa eti umdadisi eti yawezekana anafanya hivyo sbb ya shida, si kweli asilani, hao ni tabia zao za kupenda kugegedwa na watu tofauti
Na zile adventure wannazokutana nazo ndo huwa furaha yao na pindi wanapozikosa huwa wanazitafuta ili kujiliwadha
Halafu wana wale wateja wao wa heshima ambao wao wameshahama kutoka kupewa mambo usiku, wao hupewa mambo mchana na kwa dau kubwa sana wao ni mwendo wa simu tuu na huwawezi kuwaachia hata siku moja. Hivyo ukioa tuu na siku huyo mteja wake akapiga simu ujue lzm atoke waende kupasha kiporo
Kenge atabaki kuwa kenge hawezi kabadilika
 
Anzeni na uchumba usikurupike kwanza. Mnaweza mkaadvance kutoka kuwa mteja na muuzaji mkawa marafiki wa karibu ili mjuane zaidi labda anaweza kukufaa maana huwez jua kilichomfikisha huko ni nn ila kama kujiuza mbna hata huyo mpenzi wako wa zamani anajiuza kwa mume wake mana kama aliachana na ww kisa huna pesa bas na huko kwingine kafuata pesa, wengi wanajiuza tofauti niazingira na mechanism wanazotumia. Mm nashauri pata muda wa kumjua, kuwa karibu nae zaidi unaweza kuwa umeokota dodo chini ya mwarobaini.
 
Tafuta mwanamke mwingine, mke hatafutwi hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…