Nampenda Changudoa

Nampenda Changudoa

Mkuu usioe kipindi hiki ambacho una mkanganyiko wa mawazo tulia...Kuwa na time nzuri ya kumsoma zaidi...watu wa aina hiyo hawachelewi kwenda kupasha kiporo moto.. si unajua tena Zombie halishibi damu..kwa hiyo jipange
 
madada wengi tu siku hizi wanaishi kwa kutegemea K yaani wauzaji isipokuwa huyo kaamua kujianika hadharani ndo maana wanamyita CHANGUDOA ila wote ni walewale
mkuu wewe OA tu wala usiogope ni wewe kama umempenda na yeye kakupenda hapana shida 7bu ndoa huandikwa mbinguni
pia kumbuka wewe ndo utakayeweza kumbadilisha kufikia vile utakavyo
NDOA ni IBADA na shurt zake kubwa ni UAMIFU pande zote mbiri lkn ikianza kwako wewe mwanaume vivo UVUMILIVU na namna je unaweza kumtunza kama ulivyomkuta akijishughulisha na uchangudoa wake kujitunza yeye na familia yake
ikiwa unaona ni levo zako na unaweza kumtunza
basi OA halrka sana na THAWABU utakazozipata ni mara kumi zaidi ya kumuoa huyo alokuacha 7bu
MWENYEZIMUNGU aliituma MITUME yake na VITABU vyake kwa ajili ya waja wake WALIOPOTEA kwa kukosa mahalifa na walotumbukia katika majaribu ya SHETANI
hivyo ikiwa wewe utamuoa huyo msichana inamaana umemfanyia NUSRA sana hapa DUNIANI kwa kumsitili na hapana shaka MWENYEZIMUNGU atakusitili vema na wewe kesho AKHERA kwa wema ulomfanyia MJA WAKE kumtoa kunako kwa SHETANI kumuweka katika MIKONO SALAMA

jambo la mwisho nakuusia tu kuwa mwanamke ukishakuwa nae wewe kwake kama kioo yaan hata awe mtukutu vipi ni wewe ni vile twasira utakayomrudishia akijitazama hivyo ukiwa anataka abadilike asurudi nyuma kuwa mkweli kuwa NATURE yaani tabia maneno huduma na mengi unayomuonesha kabla ya ndoa iwe hivyohivyo au yazidi mkishaingia katika NDOA
 
Kwanza ujue uchangudoa upo wa aina nyingi na sisi tunaangalia wanajiuza kwenye madanguro tu huku tukiwaacha wanajiuza wakiwa nyumbani kwa wazazi wao, yaani unamfanya mpenzi wako lakini anachotaka kwako ni pesa na huku ana mtu mwingine pia. Hao ni machangudoa tu. Kiufupi kuna sababu za hao akina dada kujiingiza huko ila wengine sio maisha waliyoyachagua.
Pia ni bora kujua kabisa kuwa huyu unayemuoa alikuwa anajiuza na ameamua kuacha na kuwa mke kuliko kuoa kahaba usiyemjua na kumbatiza jina la mtoto wa geti kali kumbe ni zaidi ya kahaba na vituko utaviona ndani.
Hao ni wanawake kama wengine na wana heshima zao kama wengine na ni wanadamu wanaobadilika kwahiyo ukikutana naye na moyo wako umemuangukia basi fanya uchunguzi wa kina halafu amua kuendelea au la kutoka na majibu ya uchunguzi wako.
Hadi sasa moyo wako unakuambia huyu ni mwanamke ambaye anapaswa kuwa mke wako, nami nakushauri OA TU. tuletee na kadi za michango mkuu. Serious!
 
Inagusa sana hii aisee..lakini ni mwanamke pia..ana moyo na anahitaji kupendwa,kuolewa na kuwa na familia kama wanawake wengine..so; Ongea nae alafu umuangalie kama anafeel unachofeel PIA MCHUNGUZE na FAMILIA YAKE NA UKOO kama kuna kuna hizi tabia then Utafanya maamuzi mkuu..GOODLUCK..
 
Ni mwanamke yupi utakayemwoa sasahivi na kuwa na uhakika 100% na kujiridhisha kuwa si Malaya?

Watu wanabadilika, yeye pia ni Mtu atabadilika kabisa akiamua yeye ama ukijitahidi kumrekebisha vizuri.

Kama Hana Ukimwi, Hakufanya mapenzi kinyume na maumbile na Ana uwezo wa kubeba mimba na kukuzalia watoto...unaweza kumuoa kabisa.

Kila la kheri.
 
Tabia ni kama ngozi...

Mwanamke anayeuza mwili inafika Point anazoea zile tabia... Siku zingine atafanya siyo kwa sababu ya pesa, sababu kazoea ile hali...

Jiandae. Usijeanza kumrushia maneno ya kashfa ndani ya ndoa wakati unajua kabisa ulipomtoa wapi na kwenye mazingira gani...

Cc: mahondaw
 
Kwani si uongee naye kiundani!kutulia wanatulia sana!kipindi cha Nyuma nilishawai kupitia maisha kama yako!alikuwa Muuza bar yeye Mtoto Wa kichaga,mweupe,umbo namba nane!pia nilizaa naye Mtoto,niliachana naye sababu alikuwa mshirikina sana tena alikuwa ananfanyia Mimi,nimpende zaidi na nimpe ela zaidi.
Mtoto yuko wap
 
ulikua unaogopa heart break kuliko ukimwi
yah kweli kua uyaone
 
Habari za wakati huu

Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu

Mimi ni kijana ambaye nipo katika msongo mkubwa wa mawazo baada ya kulamba sumu ya penzi ambapo mwisho wa siku hata nikijaribu kunywa maziwa hali inazidi kuwa mbaya ukilinganisha na awali kwani moyo unataka lakini akili inakataa, nisiwachoshe sana stori iko hivi.

Kwa kipindi cha muda mrefu sana nimekuwa na tabia ya kununua machangudoa hii tabia niliianza punde tu baada ya mpenzi ambaye nilikuwa nae kwa kipindi kirefu nikitarajia awe mke wangu kwenda kuolewa na mtu mwengine kwa sababu kwangu future hamna kitu kwani kwa kipindi hicho nilikuwa juu ya mawe baada ya kumaliza chuo na kusota kupata ajira bila mafanikio na mwaka mmoja baadae na yeye alimaliza chuo alikuwa anasomea ualimu na longolongo kwao likaanza baada ya uncle kuzuia ajira kwa walimu hivyo nae kuanza kupata joto la jiwe la mtaa.

Baada ya muda nilianza kuona mawasiliano yanapungua baada ya yeye kwenda mkoani ambapo anaishi na wazazi wake, kuna siku moja baada ya kuzungumza na kuonekana hayupo sawa baada ya mazungumzo yetu alinitumia meseji ambayo mpaka leo ilibadilisha maisha yangu ya mapenzi ilikuwa meseji iliyoniuma mithili ya mtu aliyechomwa na kaa la moto kwenye moyo.

Ile meseji ilikuwa na vitu vingi sana ila kwa kufupisha tu ni kwamba aliniomba msamaha na kuniambia kwamba ilibidi aolewe maana alikuwa anaona mambo hayaeleweki na umri unazidi kwenda (unaweza ukasikiliza nyimbo ya barua ya Daz Nundaz barua utanielewa zaidi) hapo ndipo nikagundua kwamba shida zimeyeyusha barafu wa moyo wangu.

Mungu si Athumani wala Juma Hamduni nilipata kazi ingawa ni part time kwenye shirika moja hivyo mia miambili nilikuwa sikosi kwenye mfuko wangu.Nilijaribu mahusiano na wanawake wengine lakini hayaku work out.

Hapo ndipo nilipoanza tabia ya kuwanunua madada poa tabia hiyo nilianza kutokana na kwanza kuhitaji kuwa free sihitaji pressure za kuambiwa utanioa lini, pili kubadili ladha tofauti tofauti na tatu na kubwa zaidi kuogopa kuumia tena maana nilipata heart break na moyo una P.O.P.O bado na sitaki kutoneshwa.

Katika pilika pilika zangu hizo siku moja nilipata kabinti ambacho kalikuwa kabichi na anaonekana hana experience za kutosha na hiyo kazi. Baada ya makubaliano na kutafuta nyumba ya wageni ndipo nilipogundua kitu tofauti yaani nilianza kupenda tena.

The girl was charming na tulipiga stori nyingi sana na nilihisi kutreatiwa kama mpenzi na kama sio mteja aisee niliona dunia imeumbwa tena huku mimi na eva wangu tukizurura bustani ya eden ingawa niliogopa kumuuliza kwa nini anajiuza kwani na mimi ningeulizwa kwa nini nanunua.

Ikawa tabia kila nikienda ile baa huwa namchukua yeye tu tunapiga stori then kama kuna la kutokea linatokea. Penzi lake lilioanza kama mchicha sasa linazidi kukua na kuwa mbuyu na moyo wangu umeridhia kabisa kumfanya mke na kuwa mama wa wanangu ila shida akili inabisha inaniambia jasiri haachi asili na huku ikiniuliza kwa nini nimuoe changudoa wakati wapo wasichana wengi wanaostahili kuolewa.

Nimejaribu kuwaeleza watu ninaowaamini wamesema nimuache tu kama shida ngono niwe naenda ingawa nawaelezea kwamba shida sio ngono ila damu zimeendana kwani hana tofauti na wengine. Kiukweli wadau nimekwama je kuna mtu ameshawahi kuwa na hali kama yangu au kuna ushauri wowote ambao mnaweza nipatia maana sasa nahitaji familia lakini wahenga wanasema heri ukosee kujenga nyumba na sio kuoa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Chief nimeipenda story. Imenivutia ila muweke ndani kwa miezi tatu kwanza ukimchunguza kama atafaa isije kuwa ni zima moto tuu kwake ila katika kipindi hicho usimchoke. Just testing tuu baada ya hapo chukua hatua
 
Uyo uckute alikua anasaka mume kwa njia ya kujiuza seems lyk ndo kshakupata....

Same uku pia kuna colleague nae incidence kam io ilimkuta n u cant imagn nxt week ni send off ya yule changu kwenda kuolewa n jamaa..

Mpk leo hatuamin coz ata bnafc nlimptia mara kibao tu bt ndoivo tena dam zao zmekutana kuendana n wamependana thus soon watakua mwili m1...

Michango nmetoa bt nmedanganya ntakua n udhuru cku zte za sherehe izo... Mana dohh
 
Mmiliki kabisa sababu ya kuwa changu ni ugumu wa maisha mpe matakwa yako akifuata muishi atatulia tuli mimi ninayo stori hiyo kusimulia hapa ni ndefu wewe oa
 
Majuto sio mtoto ni mjukuu.
 
jirani yangu hapa alioa akazalisha watoto wa tatu yani huyu mama anagongwa na wanaume tofauti na si kwamaba anashida ya pesa ni hulka tu.. juzi kafumaniwa na dereva daladala kwenye kichumba cha ajabu wakati home kaacha nyumba kubwa mwanaume akisafiri siku mbili analeta mwanaume ndani... mwanaume sijui kalogwa yule me hata sielewi
Ni kama ku trade au kubeti, wasake jamaa wa forex wakupe vitabu ujisomee ili uwe professional.
 
Back
Top Bottom